johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Sijaelewa Kuna uhusiano gani kati ya tundu kukaa ulaya na chadema kupeleka orodha ya viti maalum?Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao...
Sawa tu Halima na genge lake watoke, Hilda Newton wasimsahauInasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao...
Hata yule CPA sijui nani dada mzuri wa Mara wampe nadhani ni Katibu wa BAWACHA taifa kama sikoseiSijaelewa Kuna uhusiano gani kati ya tundu kukaa ulaya na chadema kupeleka orodha ya viti maalum?
Kama orodha mpya Joyce hayumo Basi hiyo siyo mpya.
Bora wale watasaidia kujenga chamaKwahiyo wakipeleka orodha mpya yale malalamiko yao kuhusu uchaguzi yatakuwa yametatuliwa?
Na huyo mr belgiji nae kumbe kukaa kote kwa amsterdam kazi ilikuwa kupambana na kina Mdee?
Mleta habari hachelewi kusema amenukuliwa vibaya, ila anayemwelewa atusaidie kumwelewa Ili baadae asitiruke🤔Alielewa anisaidie kuelewa
Kamanda Asiyechoka atatoa ufafanuzi zaidiAlielewa anisaidie kuelewa
chupa imeamka na chai yake mjomba... !!Chadema walisema ule uchaguzi hawautambui, sasa wewe umeamka na hangover ya bia za jana unatupoteza tu.
Utaelewa baadae.Alielewa anisaidie kuelewa
Walisemea wapi?Chadema walisema ule uchaguzi hawautambui, sasa wewe umeamka na hangover ya bia za jana unatupoteza tu.