Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.

Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.

Mengine yatawajia.

Hii ni pati gazeti.

Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
 
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao...
Sijaelewa Kuna uhusiano gani kati ya tundu kukaa ulaya na chadema kupeleka orodha ya viti maalum?

Kama orodha mpya Joyce hayumo Basi hiyo siyo mpya.
 
Kwahiyo wakipeleka orodha mpya yale malalamiko yao kuhusu uchaguzi yatakuwa yametatuliwa?

Na huyo mr belgiji nae kumbe kukaa kote kwa amsterdam kazi ilikuwa kupambana na kina Mdee?
Bora wale watasaidia kujenga chama
 
Tunataka kuona mabadiliko kuelekea kwenye uchaguzi wa 2025 kwa hii tume ya ccm kuondoka na kuwekwa tume huru itakayoridhiwa na wadau wote bila ya hilo kutokea basi Chadema wajitoe kwenye uchaguzi ili ccm washiriki na vyama vyao pandikizi.

Pia sheria zile za kipumbavu za kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani zifutwe mara moja.

Tume huru ya uchaguzi iajiri watendaji wake baada ya "intensive and extensive vetting" na kwa ajira ya mkataba na wasiwe kabisa watumishi wa serikali.

Watu wa Tiss wadhibitiwe wasiisogelee hiyo tume maanake wenyewe ni taasisi inayotumiwa na ccm kuendelea kung'ang'ania madarakani.
 
Back
Top Bottom