Anaandika 2in1 story kama zile ziandikwazo na udaku medias habari mbili kwa mpigo, yaani heading na body havina uhusiano.Sijaelewa Kuna uhusiano gani kati ya tundu kukaa ulaya na chadema kupeleka orodha ya viti maalum?
Hii ni kwa wakomavu wa siasa tu!Hii Tabia ya mtu kuamka na kukimbilia vyupa vya pombe ni tatizo
Endelea kukariri.Anaandika 2in1 story kama zile ziandikwazo na udaku medias habari mbili kwa mpigo, yaani heading na body havina uhusiano.
Uhandishi huu ni kwa ajili ya magazine na social media za udaku ili kuvutia wasomaji, ukifungua tu umeliwa na jamaa anakuwa kapata dollars zake π€£, bahati mbaya JF hakuna malipo π.
Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.
Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.
Mengine yatawajia.
Hii ni pati gazeti..... Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Hakuna uadui, Wala kuzira kwa kudumu katika SII hasaποΈChadema walisema ule uchaguzi hawautambui, sasa wewe umeamka na hangover ya bia za jana unatupoteza tu.
Tena pabayaπVyovyote chapati mtakavyo ipika NYUNDO YA EU imepiga mahala....
Haukuwa huru ndioNilitaka kushangaa nyie si mlisema uchaguzi haukuwa huru so hamtaki zile nafasi
Kumbe ni because wake zenu na madem wa viongozi hawakuwepo so now ndio mmeamka usingizini
Uliacha kula majani Sasa unakula Nini?Ndio maana niliachaga bangi
Hii iko kimataifa zaidi.Nilitaka kushangaa nyie si mlisema uchaguzi haukuwa huru so hamtaki zile nafasi
Kumbe ni because wake zenu na madem wa viongozi hawakuwepo so now ndio mmeamka usingizini
Walioacha bangi hawajitangazi.Uliacha kula majani Sasa unakula Nini?
ππππππHii Tabia ya mtu kuamka na kukimbilia vyupa vya pombe ni tatizo
Hiyo Nini, mbona kama mbege sii mbege au mnazi ama ulanzi ndani ya kitochiππππππ
Catherine RugeHata yule CPA sijui nani dada mzuri wa Mara wampe nadhani ni Katibu wa BAWACHA taifa kama sikosei
Alielewa anisaidie kuelewa
Wasaidie darasa la kiswahili basi, usiwasimange.Kuna muda kiswahili kigumu kuelewa hasa kwa mtu anaekiandika hajui kiswahili
Hii iko kimataifa zaidi.
Hata akina Halima ni mademu wa watu vile vile na ndio maana vimewekwa viti maalumu!
Kopo la Pombe sio chupa ya Pombe huyu sio mlevi wa Chupa [emoji43][emoji43][emoji43]Hii Tabia ya mtu kuamka na kukimbilia vyupa vya pombe ni tatizo
Alielewa anisaidie kuelewa
Tatizo limeanzia hapaπMrangi unakumbuka Drive in Cenema!