Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

Utaelewa baadae.

Tatizo mmejikita kwenye siasa za matopeni mnasahau kuwa Wanaoendesha dunia wako huko aliko Tundu Lisu.

Kama unabisha waulize DRC.
Katika hili nakubaliana nawe kabisa, wanao endesha dunia wana jambo lao kwa yanayoendelea nchini.
Habari nilizozipata kutoka chanzo kilichopo huko Brussels ni kuwa mama alipata wakati mgumu sana katika kujieleza katika mambo matatu.
1. Kwa nini hayataki mabadiliko ya katiba kama watakavyo wananchi?
2. Tume huru ya uchaguzi inakuwaje ngumu kuundwa katika zama hizi za ulimwengu wa demokrasia?
3. Kesi ya ugaidi ya Mbowe mbona haina ushirikiano na mataifa mengine kama mataifa yalivyokubaliana katika mapambano ya ugaidi duniani?
MY TAKE;
Pengine hata yaliyotokea jana mahakamani ni maagizo kuhusu kulinda heshima ya serikali. Hivyo Jaji, mawakili wa serikali na wale wa Utetezi wote tayari wanajua maamuzi ya Ijumaa yatakuwaje ndio sababu hoja ya Kibatala na wenzake kutoa Oral submission walipotoka chamber hawakuikazia tena.
 
Chadema means what it says. It can't leek its own crap.
 
Kazi kubwa gani John the Baptist,ya kuhamasisha ushoga!!!Acheni kusifia uovu jamani.And then,Ulaya kunakuhusu nini wewe,nilidhani kafanya kazi kubwa Tanzania,au angalau Africa,Ulaya!!!!!!!
Acha ujinga, wewe umewahi kufi&$^lwa kwa sababu Chadema walikuhamasisha? We kama unaliwa ni tabia yako tuu! Au unataka tuwataje viongozi wakubwa ndani ya mbogamboga wanao pumuliwa kisha utuambie Chadema inahusika na tabia zao?
 
Acha ujinga, wewe umewahi kufi&$^lwa kwa sababu Chadema walikuhamasisha? We kama unaliwa ni tabia yako tuu! Au unataka tuwataje viongozi wakubwa ndani ya mbogamboga wanao pumuliwa kisha utuambie Chadema inahusika na tabia zao?
Kwani kazi aliyopewa na Wazungu Ulaya si uwakili wa mashoga mkuu,unang'aka nini sasa.Au tukisema ndio vibaya.
 
Sijaelewa Kuna uhusiano gani kati ya tundu kukaa ulaya na chadema kupeleka orodha ya viti maalum?

Kama orodha mpya Joyce hayumo Basi hiyo siyo mpya.

Ni uwezo wa akili yako maana Hujui rais yuko Kwa Beberu pemben na LIssu anapokaa! Anaangalia Mpunga!
 
Mleta habari hachelewi kusema amenukuliwa vibaya, ila anayemwelewa atusaidie kumwelewa Ili baadae asitiruke🤔
Hivi walinunikuu vibaya ukiwa mwanaccm lazima upewe coz pale lumumba ya hako kamsemo!?
 
Mawazo mazuri ila watu wa TISS kudhitiwa ni vigumu kwa kuwa ulipo wapo
Nalog off
 
Mtoa mada ametumia jana Smart Gin ambayo haina hangover na asinukuliwe vibaya kwa sababa sio mwandishi hodari wa habari.
 
Hii inaitwa prophecy ya karne
 
Ndo watakuwa wamejimaliza, kwa sababu watakuwa wamekubali kwamba uchaguzi ulikuwa halali. Such a big technical mistake!
 
Uandishi wa namna hii unadhihirisha jinsi mleta Uzi asivyo na umakini juu ya nini kiandikwe na nini kiachwe.
 
Inawezekana una kitu unakijua,ila umeshindwa kukiwasilisha......hata ukiwa Tz kuwasiliana na donor's ni simple tu........ anyway acha tuone mwisho wake
 
Kikubwa hapa ile ieleweke kwamba ile list haijawahi pelekwa na chadema Hilo ndolamsingi kabisa nahapo ndipo pakuazia
 
Leo umekula ugoro ukasahau kushushia na K Vant
 
Inawezekana John Baptist ana maanisha kutakua na maridhiano ya kitaifa, Mbowe anaachiwa, CHADEMA wamtambue Mazaa! Hapo ndo lije suala la wabunge 19! Maoni yangu, kama kutakua maridhiano ya kitaifa, hata ndani ya CHADEMA, yawepo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…