Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Katika hili nakubaliana nawe kabisa, wanao endesha dunia wana jambo lao kwa yanayoendelea nchini.Utaelewa baadae.
Tatizo mmejikita kwenye siasa za matopeni mnasahau kuwa Wanaoendesha dunia wako huko aliko Tundu Lisu.
Kama unabisha waulize DRC.
Habari nilizozipata kutoka chanzo kilichopo huko Brussels ni kuwa mama alipata wakati mgumu sana katika kujieleza katika mambo matatu.
1. Kwa nini hayataki mabadiliko ya katiba kama watakavyo wananchi?
2. Tume huru ya uchaguzi inakuwaje ngumu kuundwa katika zama hizi za ulimwengu wa demokrasia?
3. Kesi ya ugaidi ya Mbowe mbona haina ushirikiano na mataifa mengine kama mataifa yalivyokubaliana katika mapambano ya ugaidi duniani?
MY TAKE;
Pengine hata yaliyotokea jana mahakamani ni maagizo kuhusu kulinda heshima ya serikali. Hivyo Jaji, mawakili wa serikali na wale wa Utetezi wote tayari wanajua maamuzi ya Ijumaa yatakuwaje ndio sababu hoja ya Kibatala na wenzake kutoa Oral submission walipotoka chamber hawakuikazia tena.