Tetesi: Tundu Lissu amefanya kazi kubwa huko Ulaya, Mdee na wenzake wakalia kuti kavu Chadema kupeleka orodha mpya NEC ili tuendelee kufaidika!

Chadema walisema ule uchaguzi hawautambui, sasa wewe umeamka na hangover ya bia za jana unatupoteza tu.
CDM itashindwaje kutambua uchaguzi ambao ilishiriki pia? Kituo ambacho hawatambui ni matokeo ya uchaguzi ule.
 
Mdee na wenzie watadunda bungeni mpaka 2025 kwa sababu viongozi wa CHADEMA kwa sababu wanazozijua wao, wamegoma/wanaogopa kuitisha baraza kuu
 
Reactions: Tui
Utaelewa baadae.

Tatizo mmejikita kwenye siasa za matopeni mnasahau kuwa Wanaoendesha dunia wako huko aliko Tundu Lisu.

Kama unabisha waulize DRC.

..na fedha walizotafuna kina Mdee zitarudishwa?

..sidhani kina Halima watatoka kwasababu waliowapeleka bungeni ni watu wa ccm na serikali.
 
Inawezekana John Baptist ana maanisha kutakua na maridhiano ya kitaifa, Mbowe anaachiwa, CHADEMA wamtambue Mazaa! Hapo ndo lije suala la wabunge 19! Maoni yangu, kama kutakua maridhiano ya kitaifa, hata ndani ya CHADEMA, yawepo!
CCM iridhiane na Polepole, achana na CDM.
 
Ungetulia ungeandika kitu cha kueleweka. Unafukuzwa na upepo?
 
T
TISS wadhibitiwe?
Kamulize mzee wa Kaperanaumu alivyokuwa anajigamba ndani ya joho.Leo yuko wapi.
 
Ahaàa ni kweri kwa mtazamo wako na ni wazo binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…