CDM itashindwaje kutambua uchaguzi ambao ilishiriki pia? Kituo ambacho hawatambui ni matokeo ya uchaguzi ule.Chadema walisema ule uchaguzi hawautambui, sasa wewe umeamka na hangover ya bia za jana unatupoteza tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CDM itashindwaje kutambua uchaguzi ambao ilishiriki pia? Kituo ambacho hawatambui ni matokeo ya uchaguzi ule.Chadema walisema ule uchaguzi hawautambui, sasa wewe umeamka na hangover ya bia za jana unatupoteza tu.
Imeandikwa na toyoyo mkuu!Alielewa anisaidie kuelewa
Utaelewa baadae.
Tatizo mmejikita kwenye siasa za matopeni mnasahau kuwa Wanaoendesha dunia wako huko aliko Tundu Lisu.
Kama unabisha waulize DRC.
CCM iridhiane na Polepole, achana na CDM.Inawezekana John Baptist ana maanisha kutakua na maridhiano ya kitaifa, Mbowe anaachiwa, CHADEMA wamtambue Mazaa! Hapo ndo lije suala la wabunge 19! Maoni yangu, kama kutakua maridhiano ya kitaifa, hata ndani ya CHADEMA, yawepo!
Lakini CHADEMA haitatwa dola kwa mtutu bunduki, mkuu!CCM iridhiane na Polepole, achana na CDM.
Huyo kashapiga kimpumuAlielewa anisaidie kuelewa
Hao ndiyo uvccm haswaaHii Tabia ya mtu kuamka na kukimbilia vyupa vya pombe ni tatizo
Ungetulia ungeandika kitu cha kueleweka. Unafukuzwa na upepo?Inasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.
Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.
Mengine yatawajia.
Hii ni pati gazeti.
Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Haya ya mtu yametoka wapi?Lakini CHADEMA haitatwa dola kwa mtutu bunduki, mkuu!
TISS wadhibitiwe?Tunataka kuona mabadiliko kuelekea kwenye uchaguzi wa 2025 kwa hii tume ya ccm kuondoka na kuwekwa tume huru itakayoridhiwa na wadau wote bila ya hilo kutokea basi Chadema wajitoe kwenye uchaguzi ili ccm washiriki na vyama vyao pandikizi.
Pia sheria zile za kipumbavu za kuwaengua wagombea wa vyama vya upinzani zifutwe mara moja.
Tume huru ya uchaguzi iajiri watendaji wake baada ya "intensive and extensive vetting" na kwa ajira ya mkataba na wasiwe kabisa watumishi wa serikali.
Watu wa Tiss wadhibitiwe wasiisogelee hiyo tume maanake wenyewe ni taasisi inayotumiwa na ccm kuendelea kung'ang'ania madarakani.
Inawezekana maana ndio imezaa hiliHii inaitwa prophecy ya karne
Nadhani umeanza kuelewa.Ila mwanaume kuwa mmbeya huwa haipendezi.
Hahahaaaa......Mdee chali baada ya bunge la bajeti!Inawezekana maana ndio imezaa hili
View attachment 2121351
Karibuni utaelewa tu.Hata mimi sijamuelewa huyu BAVICHA anamaanisha nini
Hii mada ilikuwa kwa watu maalumu tu wanaojua siasa!Ungetulia ungeandika kitu cha kueleweka. Unafukuzwa na upepo?
Ahaàa ni kweri kwa mtazamo wako na ni wazo binafsiInasemekana kuchelewa kurejea nchini kwa makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu kulipangwa kimkakati zaidi ili aendelee kuwasiliana na wafadhili wa Ulaya akiwa karibu nao.
Kazi yake inasemekana imezaa matunda kwa 65% na kwa kuanzia Chadema itapeleka wabunge halali 19 wakaungane na yule mmoja wa Nkasi.
Mengine yatawajia.
Hii ni pati gazeti.
Mrangi unakumbuka Drive in Cenema!
Hahahaaaa......wewe uko Ufipa lakini hakuna unalolijua.Hao ndiyo uvccm haswaa