Kulwa Jilala
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 3,891
- 8,448
Mku Biblia inasema mtu akisha kufa, hajui kitu chochote kinachoendelea hapa duniani mpaka hapo Yesu atakaporudi na kumfufua.Mwacheni marehemu apumzike anakostahili. Pamoja na mambo yake mengi mabaya, inatosha kumpumzisha sasa akiwa ana kwa ana na Mungu wake, akijibu hoja hii na ile.
Dawa inawaingia taratibuMwacheni marehemu apumzike anakostahili. Pamoja na mambo yake mengi mabaya, inatosha kumpumzisha sasa akiwa ana kwa ana na Mungu wake, akijibu hoja hii na ile.
Ezekiel 18: 20-21Mku Biblia inasema mtu akisha kufa, hajui kitu chochote kinachoendelea hapa duniani mpaka hapo Yesu atakaporudi na kumfufua.
Soma kitabu cha Mhubiri 9:5-6
Sindano zinawaingia sanaHilo Chadema woote wameliekewa!
Na hata walamba asali wa Msoga na Doctor Janaba wao,wanalijua hilo!
Hata Lissu alipoteleza na kuanza kumponda Magufuli pale Temeke, alipewa ki-memo Chap!
Ndio akarekebisha kwa kusema...namnukuu...'turudi kwenye hoja ya leo,haya mengine yalikuwa ni amsha amsha tu...Tundu Lissu"
Mwisho wa kunukuu!
Mpaka muda huu sijamuona yeyote aliyejaribu kujibu hoja za LissuHilo Chadema woote wameliekewa!
Na hata walamba asali wa Msoga na Doctor Janaba wao,wanalijua hilo!
Hata Lissu alipoteleza na kuanza kumponda Magufuli pale Temeke, alipewa ki-memo Chap!
Ndio akarekebisha kwa kusema...namnukuu...'turudi kwenye hoja ya leo,haya mengine yalikuwa ni amsha amsha tu...Tundu Lissu"
Mwisho wa kunukuu!
Hapo umetupiga. Kitabu kizima cha Mhubiri hakina neno Yesu.Mku Biblia inasema mtu akisha kufa, hajui kitu chochote kinachoendelea hapa duniani mpaka hapo Yesu atakaporudi na kumfufua.
Soma kitabu cha Mhubiri 9:5-6
Kwani ule ulikuwa mdahalo?Mpaka muda huu sijamuona yeyote aliyejaribu kujibu hoja za Lissu
Hoja za Lissu ambazo wewe ulizielewa kwa uhalisia ni zipi?Mpaka muda huu sijamuona yeyote aliyejaribu kujibu hoja za Lissu
Lete hiyo videoMbona alimpond sana tena sana tu. Alisema mikutano ya siasa ilizuliwa na yule mungu wa chato. Au hukusikia
SijaonaAngalia yutyubu