Uzuri wa Kushukuru Mungu, Kila aliye na uwezo wa kutamka hilo anaweza.
Mungu ni mpuuzi sana, haswa ukichukua maana ya 'Tunamshukuru Mungu' kama wengi wanavyotumia msamiati huo. Hakika, wako wale wa PSALM 136 na wale wa NUMBERS 12:1
...na mie niliopo kwa wale wanaouliza, ndio Mungu huyo huyo Aliemlaza kibibi mungu mtu wa Ulaya?-kumbuka, Ufalme wa Kidhalimu wa Uingereza ulijitwisha Uungu, Kanisa: na ndipo kulikozaliwa ule Usemi wa -Separation of Church and State-? (nisahihishwe ikibidi) Ndio maana akazikwa mara mbili- mara ya kwanza na State, mara ya pili na Uungu wake, yaani church?
Propaganda zao walizojitwisha kutoka kwa wakoloni wanao endeleza Ukoloni mamboleo sasa zina jamba cheche(Backfiring) walitegemea hayo, na wana majibu Ati zimeletwa na Katiba? Wameanza kupindisha, ya rasharasha wanadai Umungu mtu umetokana na Katiba! Mbona hamumsemi Raisi wa sasa kumtoa kifungoni Mh. Mbowe anajifanya Mungu mtu? Kurudisha mihadhara kuwa ni Mungu Mtu, bali mmejaa pongezi kwa Mungu Mtu aliyetwishwa
na Katiba? Shabash
na vilvile ni wale wanaouliza mungu huyo huyo ndie anayepoteza watu, ni mungu huyo huyo ambaye ndio aliyewaleta watwana kutubaka, kutufanya watumwa, kutuua, na kufanya vitendo vya kigaidi Afrika mpaka Bunge la Uingereza kutaka kusambaratika? Kupata laana? (Neno waliilo tumia ni "Anathema") Huyo huyo huyo aliyemponya T.Lissu... kwa risasi, huyo huyo ambaye anamrejesha kutuokoa kutoka kwenye maovu, yaaani ni Mungu huyo huyo?
Nani Mwendawazimu? Nani Mungu mtu? Nani Dikteta(sasa anasadikika alikuwa uchwara) kupunguza makali ya makaripio!
Aisee kutokana na mchanganuo wa Mh. Zitto kuhusu 'vitu vinane' vinavyosadikika kuutangaza Udikteta. Kimoja au miongoni ya....Ni matarajio ya "Mwokozi" aliyechaguliwa na "Mungu" ikiambatana na Kutangazwa kuhusu ujio huo.....'Aliyeponywa kwa Kudra za Mungu' ?
Kitaeleweka.