Wameshakuwa kwenye position yetu ya pingapinga ya zamani. Si unajua tayari wameshakuwa wapinzani?CCM watakuambia umeelewa vibaya
Chadema waliitengeneza hiyo sera wakiilenga wao watoka kilimanjaro wachaga huyu mnyaturu Lisu kadakia tu vitu asivyovijua undani wakeSera ya majimbo inachochea majimbo yenye utajiri kutaka kujitenga na kuwa nchi kamili. Jimbo la kwanza kujitenga litakuwa Jimbo la kaskazini then Kanda ya ziwa. Iko mifano mingi tu Africa na dunia kwa ujumla.
Propaganda ya hovyo toka kwa wafuasi wa Ccm. Hivi huoni kuwa wateule wa Rais wanakuwa na nguvu kubwa dhidi ya viongozi waliochaguliwa na wananchi ?!. Huoni kuwa wilaya , halmashauri na mikoa hutegemea hisani ya serikali kuu kufanya chochote wanachokitamani ?!Sera ya majimbo inachochea majimbo yenye utajiri kutaka kujitenga na kuwa nchi kamili. Jimbo la kwanza kujitenga litakuwa Jimbo la kaskazini then Kanda ya ziwa. Iko mifano mingi tu Africa na dunia kwa ujumla.
Propaganda za Ccm kukimbilia ukabila wakati humo ndimo ukabila ulimojaaChadema waliitengeneza hiyo sera wakiilenga wao watoka kilimanjaro wachaga huyu mnyaturu Lisu kadakia tu vitu asivyovijua undani wake
Itajitengaje??? Marekani jimbo gani limejitenga?? Ujerumani pia???Sera ya majimbo inachochea majimbo yenye utajiri kutaka kujitenga na kuwa nchi kamili. Jimbo la kwanza kujitenga litakuwa Jimbo la kaskazini then Kanda ya ziwa. Iko mifano mingi tu Africa na dunia kwa ujumla.
Kuna thread nime kuquote unapotosha na hapa pia unarudia kitu hicho hicho,Sera ya majimbo inachochea majimbo yenye utajiri kutaka kujitenga na kuwa nchi kamili. Jimbo la kwanza kujitenga litakuwa Jimbo la kaskazini then Kanda ya ziwa. Iko mifano mingi tu Africa na dunia kwa ujumla.
Sera hii ndo mzizi wa kifo cha CCM!! Unafikiri watachota wapi fedha za kampeni?Kuna thread nime kuquote unapotosha na hapa pia unaridia kitu hicho hicho, naona mmetumwa kupotosha kama anavyo fanya baba 'enu Meko.
Mtatoa propaganda zote mwaka huu ila jueni mmeshafeli kabla hamjaanzaChadema waliitengeneza hiyo sera wakiilenga wao watoka kilimanjaro wachaga huyu mnyaturu Lisu kadakia tu vitu asivyovijua undani wake
Una uhakika gani watajitenga?Sera ya majimbo inachochea majimbo yenye utajiri kutaka kujitenga na kuwa nchi kamili. Jimbo la kwanza kujitenga litakuwa Jimbo la kaskazini then Kanda ya ziwa. Iko mifano mingi tu Africa na dunia kwa ujumla.
Chadema imetapakaa nchi nzima.Chadema waliitengeneza hiyo sera wakiilenga wao watoka kilimanjaro wachaga huyu mnyaturu Lisu kadakia tu vitu asivyovijua undani wake
Umeelewa mada? Chato inakujaje hapo? Wizi pia umeingiaje hapo? Au unafikiri mm ni proccm? Toa hoja sio muhemko.Mbona Chato huongelei mweu ww nyie ndo co wezi yani
Uko sahihi sana, haya majinga ya ccm hayana nia njema na hii nchi hata siku moja, huwa namshangaa sana mtu anaye jitutumua kuwatetea.Sera hii ndo mzizi wa kifo cha CCM!! Unafikiri watachota wapi fedha za kampeni???
Au viongozi wao unafikiri kukiwa na majimbo watapata wapi fedha za ufisadi za kujichotea tu pale hazina na kwenda kujenga viwanja vya ndege kwao, kuendeleza ma ardhi makubwa ya wananchi wanayojimegea???
Sera ya majimbo ndo kifo cha CCM na viongozi wake walafi. Usione wanatumia nguvu kubwa kiasi hiki kupotosha!!