Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ameielezea vizuri Sera ya Majimbo kwa mara ya kwanza. Haina ukabila wala ukanda

Sera ya majimbo inachochea majimbo yenye utajiri kutaka kujitenga na kuwa nchi kamili. Jimbo la kwanza kujitenga litakuwa Jimbo la kaskazini then Kanda ya ziwa. Iko mifano mingi tu Africa na dunia kwa ujumla.
Ni kanda gani Tanzania haina utajiri wa asili (rasilimali)? Maamuzi yanayotoka Dar ambao wafanya maamuzi wengi hutokea hizo kanda ulizozitaja wewe ndo HUDIDIMIZA kanda zingine mpaka zinaonekana masikini.

Tumechoshwa na wafanya maamuzi kutoka kanda ya ziwa na kaskazini mnaoishi Dar kutufanyia maamuzi yanayohusu kanda zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…