Namanisha ndo wimbo unaosikika sana kitaani kuliko huu wimbo uliofanyiwa kampeni na mange.....Inakimbiza kwenda wapi mkuu!!
Ukweli huchelewa kufika lakini hudumu daima,ZILIPENDWA KILA KONA,seduce DAY5 LEO lakini haijulikani imepitelea wapNamanisha ndo wimbo unaosikika sana kitaani kuliko huu wimbo uliofanyiwa kampeni na mange.....
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeangalia tofauti ya views lkn? Naona gape lipo vile vile tu.Washafulia hao naona view zimestack,na mtaani tunaruka debe la ZILIPENDWA na wazee tunakumbushana mbali tu
Fake account halafu huyo mwenyewe mwenye hiyo account ni zuzu+, account name @Tundulissu, aliyecoment @Tundulissutz kisha anajidefend kwa kusema sina account Twitter wala Facebook na wakati huohuo katumia account ya Twitter kureply.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je ile kasi ya juzi ndo ile ile?????Umeangalia tofauti ya views lkn? Naona gape lipo vile vile tu.
HahahahahahahaJe ile kasi ya juzi ndo ile ile?????
Ndo.mana twasema KIZURI CHAJIUZA,MONDI NA VIEW ZAKE ORIGINAL LAKINI KIBA ZA KICHINA ZA KUHIMIZANA WAVUNJE Record NA SASA WAMEMTUPA JALALANI WANAINGIA MMOJAMMPJA LABDA NA FAMILIA YAKE TU
unadhani watu wote wanauelewa kama wa kwako. Wapi imeandikwa hii ni Instagram, wapi aliposema yeye an account Instagram tuuMwanzoni kabla sjajiunga JF nilidhan watu wa humu ni wasomi na waelewa. Nikaja kugundua asilimia kubwa ni vilaza.
Lissu kasema hana account tweeter wala facebook. Hujaelewa. Hyo post Lissu kaiandika Instagram na ndiko ana account tu.
Sasa sjuh huyu kilaza ameelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
kazi ya ajabu sijawahi pata onaHahahahahahaha
Tatzo la kukurupuka ndo hili.Kilaza ni wewe unayedhani watu wote wanauelewa kama wakwako. Wapi imeandikwa hii ni Instagram, wapi aliposema yeye an account Instagram tuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia vizuri mkuu ayo kayaandika Instagram iyo scree shotFake account halafu huyo mwenyewe mwenye hiyo account ni zuzu+, account name @Tundulissu, aliyecoment @Tundulissutz kisha anajidefend kwa kusema sina account Twitter wala Facebook na wakati huohuo katumia account ya Twitter kureply.
Sent using Jamii Forums mobile app