Tundu Lissu amekanusha kuwa akaunti ya Twitter inayoonyesha kuzungumzia wimbo wa Ali Kiba sio ya kwake

Tundu Lissu amekanusha kuwa akaunti ya Twitter inayoonyesha kuzungumzia wimbo wa Ali Kiba sio ya kwake

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Hii ndio tweet iliyozua kizazaa mtandaoni kiasi cha mheshimiwa Lissu kuweka hadharani kuwa hio account iliyotumika sio ya kwake

21224758_1996885137208396_1309841746833702912_n.jpg

Hii ndio tweet ya Lissu kukanusha uzushi wa kumshabikia kiba
21107616_225937317934502_2396467845656477696_n.jpg
 
Fake account halafu huyo mwenyewe mwenye hiyo account ni zuzu+, account name @Tundulissu, aliyecoment @Tundulissutz kisha anajidefend kwa kusema sina account Twitter wala Facebook na wakati huohuo katumia account ya Twitter kureply.

Sent using Jamii Forums mobile app

Lissu kasema hana account tweeter wala facebook. Hujaelewa. Hyo post Lissu kaiandika Instagram na ndiko ana account tu.

Sasa sjuh huyu ameelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je ile kasi ya juzi ndo ile ile?????

Ndo.mana twasema KIZURI CHAJIUZA,MONDI NA VIEW ZAKE ORIGINAL LAKINI KIBA ZA KICHINA ZA KUHIMIZANA WAVUNJE Record NA SASA WAMEMTUPA JALALANI WANAINGIA MMOJAMMPJA LABDA NA FAMILIA YAKE TU
Hahahahahahaha
 
Mwanzoni kabla sjajiunga JF nilidhan watu wa humu ni wasomi na waelewa. Nikaja kugundua asilimia kubwa ni vilaza.

Lissu kasema hana account tweeter wala facebook. Hujaelewa. Hyo post Lissu kaiandika Instagram na ndiko ana account tu.

Sasa sjuh huyu kilaza ameelewa?

Sent using Jamii Forums mobile app
unadhani watu wote wanauelewa kama wa kwako. Wapi imeandikwa hii ni Instagram, wapi aliposema yeye an account Instagram tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kamwe usimuamini mbongo

Jmos ilifanyika ka
Hahahahahahaha
kazi ya ajabu sijawahi pata ona

Lakini Leo day5 wala hawana time NAYO
Zote ni kumkomoa mondi
Afu jamaa kawavua nguo na midevu yao

Hahahhaaaaa,hili Jamaa ni genious KINOMA,yani wanataman hata lipate ajali tu WAO wapumzike maana mafanikio gani haya yasiyo na ukomo kila siku yanapanda juu tuu
 
Fake account halafu huyo mwenyewe mwenye hiyo account ni zuzu+, account name @Tundulissu, aliyecoment @Tundulissutz kisha anajidefend kwa kusema sina account Twitter wala Facebook na wakati huohuo katumia account ya Twitter kureply.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia vizuri mkuu ayo kayaandika Instagram iyo scree shot

blame no body
 
Alishatamka muda mrefu kuwa hana akaunti ya Twitter, Instagram wala Facebook.

Wanatafuta kiki zisizo na maana. Lisu hawazi kujihusisha na upuuzi wa Mange.
 
Back
Top Bottom