Tundu Lissu amekanusha kuwa akaunti ya Twitter inayoonyesha kuzungumzia wimbo wa Ali Kiba sio ya kwake

Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu amekanusha kuwa akaunti ya Twitter inayoonyesha kuzungumzia wimbo wa Ali Kiba ‘Seduce Me’ sio ya kwake [HASHTAG]#MwananchiLeo[/HASHTAG] #

Mwenye akaunti hiyoamekuwa akijifanya ndiye Tundu Lissu kwa muda mrefu
Vyombo vya habari viliingia mkenge kwa kudhani ni yeye na kuandika habari hiyo

 


Twitter v. Instagram

Tatizo ni kuwa ushamba wa mitandao na uzuzu. Hata hujui kuwa iyo ni mitandao miwili tofauti. Na nyie ndio mnaotusainia mikataba.
 
Umeangalia tofauti ya views lkn? Naona gape lipo vile vile tu.
Tatizo lilipo hapo ni ule msemo wa wahenga una apply yaani "maskini akipata, m..t...ko hulia mbwata (hata anaeongoza darasani kuna masomo mengine hakuongoza ila walichukua wastani akaibuka kidedea)
 
Hahahaha kwahiyo muheshimiwa ana account Instagram badala ya Twitter ambako wako wasomi wenzake.. Ameamua kuwa na account kwenye udaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cha ajabu hiyo account anayoikataa leo ndiyo ambayo mpaka waheshimiwa wenzake wa CDM wanaijua kuwa ndiyo yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sasa kama hana account huko, ametumia nini kupost hiyo taarifa?
 
Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu amekanusha kuwa akaunti ya Twitter inayoonyesha kuzungumzia wimbo wa Ali Kiba ‘Seduce Me’ sio ya kwake


 
Kuna watu wanatunga uongo na kuuamini wenyewe na wanalazimisha uwe ukweli.
 
Hii ndio tweet iliyozua kizazaa mtandaoni kiasi cha mheshimiwa Lissu kuweka hadharani kuwa hio account iliyotumika sio ya kwake

View attachment 577465

Hii ndio tweet ya Lissu kukanusha uzushi wa kumshabikia kiba
View attachment 577466
MASIKINI haters TEAM KIBA....TEAM MANGE ..... mnatapa tapa sana.... SIMBA hamumuwezi.... I was in NIGERIA recently...Population ya kule ni 5 times ya bongo na jamaa huko pia ana base fulani....
 
Mmmh aiseee
MASIKINI haters TEAM KIBA....TEAM MANGE ..... mnatapa tapa sana.... SIMBA hamumuwezi.... I was in NIGERIA recently...Population ya kule ni 5 times ya bongo na jamaa huko pia ana base fulani....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…