Hivi secretary Pompeo ameshatoa Ruhusa aende USA
Huyu mwana mama ni wanted Marekani
Mbona juzi kati hapa kapigwa pini na USA na amenywea. Boya Kama Boya Wengine. Ukiona Mtu yeyote kutoka Nchi Maskini Kama Afrika anapewa Position kubwa Kama hiyo, basi ujue, lengo ni atumike dhidi ya Waafrika wenzake. Huyu Bibi na the late Kofi Anan ni mifano hai!
Basi na yeye boya Kama MA boya wengine tu
Katika orodha hiyo Lissu ni nambari wani
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo tarehe 28/10/ 2020. katika Mkutano huo ambao waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walihudhuria, Tundu Lissu ametolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali.
Aidha, akianza kutoa tathmni ya kile kinachoendelea katika kampeni zao Tundu Lissu alisema "Kwa ujumla tumefanya kazi kubwa sana na nyie ambao mpo kwenye msafara huu mmeona na Watanzania wameona. Tumefanya mikutano mingi kuliko mikutano yote aliyofanya mpinzani wetu Mkuu Rais Magufuli pamoja, Makamu wake pamoja na Waziri Mkuu kwa combined. Yaani mikutano ambayo tumeifanya sisi ni mingi kuliko ambayo wameifanya wao kwa ujumla wao.
Mikutano yetu imekuwa na mafanikio makubwa sana kuliko ambavyo sisi wenyewe tulitegemea mwanzoni, hakuna mkutano ambao imebidi tusafirishe mtu yeyote. Mikutano yetu imehudhuriwa na maelfu kwa maelfu ya Watanzania ambao wametembea wao kwa miguu yao, wamekuja kwa vyombo vyao wamekuja kwa namna mbalimbali za usafiri kwa kujitegemea. Mikutano yote ya Chama cha Mapinduzi watu wanakwenda kwa kulazimishwa, wanapeleka watoto wa shule baada ya kuwalazimisha kwa kufunga shule, kutisha waalimu, wanafunga Maofisi ya serikali na kulazimisha wafanyakazi kwenda kumsikiliza Magufuli.
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema jaribio lolote lenye nia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 na kutumia mabavu litapelekea watu kufikishwa Mahakama ya Kimataifa 'The Hague'
Amesema, "Kuna uchunguzi unaendelea, wa matukio yote ambayo yanafanyika na yameshafanyika. Kuna list (orodha) ya watu wanaoangaliwa"
Ameongeza kuwa, yeyote atakayetumia mbinu za kiharamia kuvuruga Uchaguzi na kusababisha maafa kwa Watanzania anajiingiza mwenyewe katika orodha hiyo.
Sio kwa kura, hilo daftari la wapiga kura mmelichezea ili mpate ushindi wa wizi mmechemsha. Halafu Zec bila aibu wanasema eti watu hawajaenda kuhakiki taarifa!Aache ujinga kila saa wazungu wazungu yaani domoni mwake kumejaa wazungu tu ohhh madini tutayaweka rehani kwa wazungu ohhh Amsterdam ohhh the Hague ohhh Mimi najua kingereza
Lisu lazima tumupnyesha kuwa Tanzania ni ya waswahili sio wazungu tarehe 28 October hatumpi kura
Hi ni muhimu Sana ili wananchi na wapiga kura kwa ujumla wasipandwe kichwani na NECcm, policcm, nkMgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema jaribio lolote lenye nia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 na kutumia mabavu litapelekea watu kufikishwa Mahakama ya Kimataifa 'The Hague'
Amesema, "Kuna uchunguzi unaendelea, wa matukio yote ambayo yanafanyika na yameshafanyika. Kuna list (orodha) ya watu wanaoangaliwa"
Ameongeza kuwa, yeyote atakayetumia mbinu za kiharamia kuvuruga Uchaguzi na kusababisha maafa kwa Watanzania anajiingiza mwenyewe katika orodha hiyo.
Wewe ukipelekwa huko unaweza kujitetea? Very stupid..why should Magufuli be sent to The Hague and Not Lissu ? Stupid...Do you think by pointing out that Tanzanians will waver..? We are tired of this nonsenseWewe kwa akili yako, Magufuli anaweza kusimama The Hague akajitetea kama akitakiwa hivyo mana kuongea point tu kwa kiswahili hawezi sembuse kule.
Kinuke tu!
Mbinu zote tegemezi za wizi zimebuma,vituo hewa majina hewa zimebuma mapolisi wamehaha kusaka center za kudakia matokeo halisi ya upinzani wamebuma mara wamkamate mdee, mara Heche, mara lema, mara matiko hovyo kabisa, yameambulia patupu.True huu mwaka hatuna mchezo na uchaguzi
Mbona Magufuli Kawa Rais na amedhihirisha kama urais tu hata binti wa chekechea anaweza kuwa Rais na mambo yakaendaHuyu jamaa na the hague yake bana.. Ndo sawa na wale watoto anakishajua hana haki ya kupata anachokitaka anaanza kujiliza ili mkubwa uliepo umuonee huruma usimamie apewe anachokitaka.. Lissu mbona vitisho vimekuwa vingi sana! Tulia upigwe spana dadek, utajuta kilichokuingiza kwenye huu mchakatoView attachment 1610392
Utoto huo, au siyo riziki?
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo tarehe 28/10/ 2020. katika Mkutano huo ambao waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walihudhuria, Tundu Lissu ametolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali.
Aidha, akianza kutoa tathmni ya kile kinachoendelea katika kampeni zao Tundu Lissu alisema "Kwa ujumla tumefanya kazi kubwa sana na nyie ambao mpo kwenye msafara huu mmeona na Watanzania wameona. Tumefanya mikutano mingi kuliko mikutano yote aliyofanya mpinzani wetu Mkuu Rais Magufuli pamoja, Makamu wake pamoja na Waziri Mkuu kwa combined. Yaani mikutano ambayo tumeifanya sisi ni mingi kuliko ambayo wameifanya wao kwa ujumla wao.
Mikutano yetu imekuwa na mafanikio makubwa sana kuliko ambavyo sisi wenyewe tulitegemea mwanzoni, hakuna mkutano ambao imebidi tusafirishe mtu yeyote. Mikutano yetu imehudhuriwa na maelfu kwa maelfu ya Watanzania ambao wametembea wao kwa miguu yao, wamekuja kwa vyombo vyao wamekuja kwa namna mbalimbali za usafiri kwa kujitegemea. Mikutano yote ya Chama cha Mapinduzi watu wanakwenda kwa kulazimishwa, wanapeleka watoto wa shule baada ya kuwalazimisha kwa kufunga shule, kutisha waalimu, wanafunga Maofisi ya serikali na kulazimisha wafanyakazi kwenda kumsikiliza Magufuli.
Wataalamu wetu wa mahesabu na watu ambao wanafuatilia wanafanya survey za muelekeo wa Upigaji kura wanatuambia kwamba kwa jinsi ambavyo mikutano yetu imekwenda ya kampeni, kwa jinsi ambavyo tumefanya mikutano yaetu tunashinda uchaguzi huu kwa asilimika kati ya 65 hadi 75 huo ni mtazamo wa watua ambao tumewaopa kazi wa kufanya survey ya Wapiga kura nchi nzima.
Hali yetu ni nzuri sana. Kwahiyo, Magufuli nje ya Tume ya Uchaguzi, nje ya wasimamizi wa Uchaguzi aliowateua. Makada wa CCM ndio Wakurugenzi na Wasimamizi wa Uchaguzi, nje ya kufanya vurugu, nje ya kuiba kura hawezi akashinda uchaguzi huu kwa sababu hana kibali cha Watanzania tena. Kwahiyo kwa sababu hana kibali cha Watanzania na kampeni yake inadoda kila mahali tunaona sasa vitendo ambavyo tulivitabiri mwanzoni. Tulisema kwamba hawa watu hawawezi wakashinda Uchaguzi ulio huru na haki na tayari tunaanza kuona dalili hizi aidha kuharibu uchaguzi, au kufanya wizi mkubwa wakitumaini kwamba labda pengine atabaki madarakani.
Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu amesema jaribio lolote lenye nia ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28 na kutumia mabavu litapelekea watu kufikishwa Mahakama ya Kimataifa 'The Hague'
Amesema, "Kuna uchunguzi unaendelea, wa matukio yote ambayo yanafanyika na yameshafanyika. Kuna list (orodha) ya watu wanaoangaliwa"
Ameongeza kuwa, yeyote atakayetumia mbinu za kiharamia kuvuruga Uchaguzi na kusababisha maafa kwa Watanzania anajiingiza mwenyewe katika orodha hiyo.
Mwaka gani mlifanya mchezo na uchaguzi? Rais wako anaenda ubelgiji Dec 18, wewe uliahidi kuondoka, unaondoka lini na unaenda wapi?True huu mwaka hatuna mchezo na uchaguzi
Kama vituko vya Magufuli vya kuiba rambirambi bila aibu licha ya cheo chake kikubwa nchiniNacheka kwa dharaaaau, na vituko vya lisu