Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Bado kidogo tu afikie kwenye asilimia ya atakaoshindwa na Magufuli

Yaani huyu mgombea, ule ushindi wa mwenzake ndio anauweka kwake?

Upuuzi kabisa
 
Aache ujinga kila saa wazungu wazungu yaani domoni mwake kumejaa wazungu tu ohhh madini tutayaweka rehani kwa wazungu ohhh Amsterdam ohhh the Hague ohhh Mimi najua kingereza

Lisu lazima tumupnyesha kuwa Tanzania ni ya waswahili sio wazungu tarehe 28 October hatumpi kura
Mkuu, usicheze na Ulaya.

Ukikumbuka zile full breakfast, lunch na zile dinner za aina tofauti tofauti.

Halafu wazichanganya na chai ya mkandaa, kipande cha mhogo, baadae maharagwe na sijui nini kabeji.

Unachanganyikiwa ukipiga picha kubwa.
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo tarehe 28/10/ 2020. katika Mkutano huo ambao waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walihudhuria, Tundu Lissu ametolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali...
Tayari ICC inayo list ya Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo vya kishamba kuwaonea kuwanyanyasa wapinzani kwenda mikutano ya kampeni
 
Bado kidogo tu afikie kwenye asilimia ya atakaoshindwa na Magufuli

Yaani huyu mgombea, ule ushindi wa mwenzake ndio anauweka kwake?

Upuuzi kabisa
Wewe ndiyo mpuuzi kwa kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu Mkoloni kaburu mweusi tokea chato
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo tarehe 28/10/ 2020. katika Mkutano huo ambao waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walihudhuria, Tundu Lissu ametolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali...
Huyu jamaa nahisi kuna shida sehemu. Anafikiri the Hague anapelekwa tu mtu kama alivyopelekwa yeye Ubeligiji
 
yeye ndiyo atakwenda the hegue maana anahamasisha maandamano yatakayo letamaafa
NECCCM Tumeccm na Polisiccm kwa kufuata ushetani wenu ukitaka asihamasishe watanzania kuandamana kukataa upumbavu wenu? Unataka mfanye mambo ya hovyo akae kimya? Lisu hana Jeshi yeye nguvu zake ni wananchi tu
 
Huyu jamaa nahisi kuna shida sehemu. Anafikiri the Hague anapelekwa tu mtu kama alivyopelekwa yeye Ubeligiji
Wewe mwenyewe mbumbumbu juha kilaza unawezaje kujua chochote juu ya ICC?
 
Mkuu LIKE , nashauri tuendelee kuwahimiza watu wakapige kura, tusitishane jameni, mmeanza na The Hague, sasa Ukonga,
Sii wengi humu, wanaojua kuwa kuna watu Keko na Segerea zinawasubiri mara tuu baada ya uchaguzi.
Tanzania ni nchi yetu sote, tusitishane jameni!.

P
CCM hutumia Polisiccm mahakamaccm magerezaccm kuwaonea kuwabambikia kesi kesi huko ndiko kutishana Paskal mayala, wewe mwenyewe ukitishwa na kamati ya bunge ukawa mpole kama zezeta, acha kujimwambafy kishamba kiwa kusema tusitishane kwa ICC The Hague wakati Polisiccm NECCCM Tumeccm wanafanya hujuma vitendo haramu vya kishamba kishetani bila kificho, Ukitaka Lisu awapeleke wapi waovu watesi waonevu wa CCM? Tanzania ni Nchi yetu sote ndiyo Polisiccm watumike kuwabambikia kesi kuwaonea watu? Paskal mayala acha kujitoa fahamu kisa unavizia uteuzi jioni
 
Hahaha usiogope sana hizo ni siasa, kaeleza yanayofanyika anayoyajua yeye , na hayo yako ni yako.

Haya mambo ni kama yanga na simba tu, chagua upande ushabikie. Lakini ushabiki haumzuii refa kutoa maamuzi.

Kunywa maji lala pumzika, move on.
Paskal mayala wa 2020 kawa zezeta kisa anavizia uteuzi
 
nafikiri ile kauli ya MKURUGENZI NAKULIPA MSHAHARA NAKUPA NYUMBA NA GARI HALAFU UNATANGAZA MPINZANI KASHINDA inaweza ikamaliza kesi video yake ikiwa played
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Wanufaika wa udikiteta wa CCM wavizia uteuzi wapo busy kuitetea CCM bila Aibu, hawataki kukemea ujinga wa Polisiccm na NECCCM Tumeccm wamekalia kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu Mkoloni mweusi tokea chato na yule Dogo mti mkavu Polepole.
 
Hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni Aibu walikuwepo akina Bokasa chiluba Abacha Gadafi Sadam Hussein Elbashiri Iddy Amin dada mabutu leo hii wapo wapi?
 
Lissu kuna kitu anakitafuta eti tumefanya mikutano mingi kumshinda mgombea wa ccm pamoja na waziri mkuu.

anaongea hivyo ili aonekane kuwa amewakusanya watu wengi sana kuliko mgombea wa ccm wakati anajua ni uongo hana watu wengi kuliko mgombea wa ccm.anataka kuwaaminsha mabwana zake mabeberu kuwa anakubalika tz kumbe hamna lolote ili akishindwa aonekane kuwa ameonewa.
kwa mbinu hiyo kibaraka lissu amefili vibaya na kuangukia pua.
Kwa ujumla magu amekuwa akifanya matamasha na ziara za kikazi hajafanya kampeni.
 
Kuishi kwa kukariri Akili za cyprian Musiba polepole le mutuz Bashiru ni Tatizo, CCM wote wanaamini hao viumbe ndiyo hufikiri kuwaza kwa niaba yao na lazima wasadiki na kuabudu fikra zao na kuabudu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM, hili ndilo janga kwa miccm haitaki kuzinduka itumie Akili zao binafsi, kuishi kwa kukariri hivyo ndiko kumedumaza maendeleo ya Nchi hii.
 
Kwa ujumla magu amekuwa akifanya matamasha na ziara za kikazi hajafanya kampeni.
Ni kweli CCM bila wasanii na hasa Diamond hakuna watu watajaa kwenye mkutano wa CCM
 
Lissu kuna kitu anakitafuta eti tumefanya mikutano mingi kumshinda mgombea wa ccm pamoja na waziri mkuu.

anaongea hivyo ili aonekane kuwa amewakusanya watu wengi sana kuliko mgombea wa ccm wakati anajua ni uongo hana watu wengi kuliko mgombea wa ccm.anataka kuwaaminsha mabwana zake mabeberu kuwa anakubalika tz kumbe hamna lolote ili akishindwa aonekane kuwa ameonewa.
kwa mbinu hiyo kibaraka lissu amefili vibaya na kuangukia pua.
Kura zinapigwa hadharani, zihesabiwe hadharani na matokeo yatolewe hadharani. Hata dunia itamshangaa atakaye bishia.

Kitu ambacho chama kikongwe hakipo tayar kufanya utaratibu huo.
 
CCM wote wanaamini kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani uonevu unyanyasaji uovu mateso manyanyaso ni jambo zuri kwa wapinzani ambao ni ndugu zao, miccm inayopenda huo uonevu mingi haikosi kwenye nyumba za ibada siku za ibada na hapo ndipo huwashangaza watu.
 
Kura zinapigwa hadharani, zihesabiwe hadharani na matokeo yatolewe hadharani. Hata dunia itamshangaa atakaye bishia.

Kitu ambacho chama kikongwe hakipo tayar kufanya utaratibu huo.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sana
 
Makao makuu ya shetani sasa yapo CCM kwa mwezi huu
 
Back
Top Bottom