Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amekutana na Waandishi wa habari kuelezea mwenendo wa kampeni. Asema Jaribio la kuvuruga Uchaguzi litasababisha watu wapelekwe 'The Hague'

Usione baada ya mauaji Magufuli anamtupia mpira afande Siro ,bashiru polepole na kumtaka wawajibike na wakamatwe wapelekwe huko wakajibu kesi,na kule Unguja anamtosa Sheni na makamo wake wote wakamatwe na katibu wao.

Magu atadai aliwaagiza wafanye uchaguzi wa haki na anaeshinda apewe ushindi wake hawakumsikiliza ,mbinu za mauaji walizopanga hazijui wala hakujulishwa.
inaitwa kuruka kimanga!
 
Hahaha Kenge ameshanza kutoa dam masikioni Kwisha habari yako Tundu. Ameongopa pakubwa kuhusu idadi ya mikutano mwongo Sana kijana huyu, eti amefanya mikutano mingi zaidi ya waliofanya Majaliwa Samia na Magufuli big layer.
 
Aache ujinga kila saa wazungu wazungu yaani domoni mwake kumejaa wazungu tu ohhh madini tutayaweka rehani kwa wazungu ohhh Amsterdam ohhh the Hague ohhh Mimi najua kingereza

Lisu lazima tumupnyesha kuwa Tanzania ni ya waswahili sio wazungu tarehe 28 October hatumpi kura
Fatu Bensuda mwendesha mashtaka wa the Haggue ni mzungu?yamkini wewe Doto James Acha umbumbu basi?Kuwa na wakili mzungu hata Nyerere alikuwa na wakili mzungu.Ni wewe tu na Jiwe ndio mnaogopa wazungu maana lugha haipandi!
 
Mkuu Dada yangu mrembo beth , Uchaguzi unaendeshwa na Tume yetu huru ya Uchaguzi, NEC, Rais wa JMT ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, ametoa hakikisho la uchaguzi utakuwa huru na wa haki, haya mambo ya kutishiana 'The Hague' ya nini?, haya sio mambo!..
Mchakato wa uchaguzi huru na haki tayari umesha vurugwa na NEC pamoja na vyombo vya dola. Kilichobaki ni Mungu saidia.
 
uzuri wa TAL anakubalika ndani ya nchi na nje ya nchi...siyo huyo mzee hata kwenye famila yake ya dam unaona kabisa kuna mushkeli wa kukubalika. Mama mwenye nyumba anaonekana suspecious kila wakati haamini huyu jamaa kupewa nafas kubwa kama urais wa nchi
 
Fatu Bensuda mwendesha mashtaka wa the Haggue ni mzungu?yamkini wewe Doto James Acha umbumbu basi?Kuwa na wakili mzungu hata Nyerere alikuwa na wakili mzungu.Ni wewe tu na Jiwe ndio mnaogopa wazungu maana lugha haipandi!
Tayari ICC The Hague wameandaa majarada ya Polisiccm na NECCCM Tumeccm wote walioshiriki uonevu na kuhatarisha Amani
 
uzuri wa TAL anakubalika ndani ya nchi na nje ya nchi...siyo huyo mzee hata kwenye famila yake ya dam unaona kabisa kuna mushkeli wa kukubalika. Mama mwenye nyumba anaonekana suspecious kila wakati haamini huyu jamaa kupewa nafas kubwa kama urais wa nchi
Kama mtu mpenda visasi muonevu mnyanyasaji mpenda kuwabambikia kesi kesi watu kama mtukufu magufuli kaweza kuwa Rais sembuse mpenda haki kama Lisu?
 
Hahaha Kenge ameshanza kutoa dam masikioni Kwisha habari yako Tundu. Ameongopa pakubwa kuhusu idadi ya mikutano mwongo Sana kijana huyu, eti amefanya mikutano mingi zaidi ya waliofanya Majaliwa Samia na Magufuli big layer.
Wewe ndiyo muongo unajishebedua kisa unavizia uteuzi
 
Inasikitisha sana. Tumekuwa taifa la Kimafia. Kura za walala hoi haziheshimiki
 
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo tarehe 28/10/ 2020. katika Mkutano huo ambao waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walihudhuria, Tundu Lissu ametolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali...​
bless up
 
Ni kweli CCM bila wasanii na hasa Diamond hakuna watu watajaa kwenye mkutano wa CCM
Acha uongo ndugu. Wananchi wengi wanaojitokeza kwenye mikutano ya Rais Magufuli ni kutokana na yeye mwenyewe Raisi. Simba walileta msanii maarufu uwanja wa Taifa lakini walishindwa kujaza uwanja wa Taifa.

Kwataarifa yako Rais Magufuli amejizolea umarufu mkubwa Sana katika kipindi kifupi cha utawala wake. Kabla ya kampeni kuanza Magufuli alikuwa anajaza mikutano yake ya kiserikali.

Anapendwa Sana acheni kujidanganya ndugu zangu. 28/10/2020 mtaelewa nilichokiandika najua wengine mtabadilisha ID zenu kwa aibu.
 
Mkuu Dada yangu mrembo beth , Uchaguzi unaendeshwa na Tume yetu huru ya Uchaguzi, NEC, Rais wa JMT ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, ametoa hakikisho la uchaguzi utakuwa huru na wa haki, haya mambo ya kutishiana 'The Hague' ya nini?, haya sio mambo!.

Kwa vile sio wote wanajua sheria, hivyo mtu mmoja kujua sheria, asitake kuwatisha watu wengine wote na 'The Hague', kuna mambo ya 'The Hague' na mambo ambayo sio ya 'The Hague', uchaguzi ni mambo yetu ya ndani, sio mambo ya 'The Hague', tusitishiane na 'The Hague'.
P
Kauli ya mdomoni si utekelezaji. Unaweza kutamka neno lakini lisifanyiwe kazi. Tayari figusu imeshaanza kuwaapisha mawakala wa upinzani. Je huo ndo uchaguzi wa haki na huru?
 
Back
Top Bottom