paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Mkuu, usicheze na Ulaya.Aache ujinga kila saa wazungu wazungu yaani domoni mwake kumejaa wazungu tu ohhh madini tutayaweka rehani kwa wazungu ohhh Amsterdam ohhh the Hague ohhh Mimi najua kingereza
Lisu lazima tumupnyesha kuwa Tanzania ni ya waswahili sio wazungu tarehe 28 October hatumpi kura
Tayari ICC inayo list ya Polisiccm wote wanaoshiriki vitendo vya hovyo vya kishamba kuwaonea kuwanyanyasa wapinzani kwenda mikutano ya kampeni
Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo tarehe 28/10/ 2020. katika Mkutano huo ambao waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walihudhuria, Tundu Lissu ametolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali...
Wewe ndiyo mpuuzi kwa kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu Mkoloni kaburu mweusi tokea chatoBado kidogo tu afikie kwenye asilimia ya atakaoshindwa na Magufuli
Yaani huyu mgombea, ule ushindi wa mwenzake ndio anauweka kwake?
Upuuzi kabisa
Huyu jamaa nahisi kuna shida sehemu. Anafikiri the Hague anapelekwa tu mtu kama alivyopelekwa yeye UbeligijiMgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo tarehe 28/10/ 2020. katika Mkutano huo ambao waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walihudhuria, Tundu Lissu ametolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali...
NECCCM Tumeccm na Polisiccm kwa kufuata ushetani wenu ukitaka asihamasishe watanzania kuandamana kukataa upumbavu wenu? Unataka mfanye mambo ya hovyo akae kimya? Lisu hana Jeshi yeye nguvu zake ni wananchi tuyeye ndiyo atakwenda the hegue maana anahamasisha maandamano yatakayo letamaafa
Wewe mwenyewe mbumbumbu juha kilaza unawezaje kujua chochote juu ya ICC?Huyu jamaa nahisi kuna shida sehemu. Anafikiri the Hague anapelekwa tu mtu kama alivyopelekwa yeye Ubeligiji
CCM hutumia Polisiccm mahakamaccm magerezaccm kuwaonea kuwabambikia kesi kesi huko ndiko kutishana Paskal mayala, wewe mwenyewe ukitishwa na kamati ya bunge ukawa mpole kama zezeta, acha kujimwambafy kishamba kiwa kusema tusitishane kwa ICC The Hague wakati Polisiccm NECCCM Tumeccm wanafanya hujuma vitendo haramu vya kishamba kishetani bila kificho, Ukitaka Lisu awapeleke wapi waovu watesi waonevu wa CCM? Tanzania ni Nchi yetu sote ndiyo Polisiccm watumike kuwabambikia kesi kuwaonea watu? Paskal mayala acha kujitoa fahamu kisa unavizia uteuzi jioniMkuu LIKE , nashauri tuendelee kuwahimiza watu wakapige kura, tusitishane jameni, mmeanza na The Hague, sasa Ukonga,
Sii wengi humu, wanaojua kuwa kuna watu Keko na Segerea zinawasubiri mara tuu baada ya uchaguzi.
Tanzania ni nchi yetu sote, tusitishane jameni!.
P
Paskal mayala wa 2020 kawa zezeta kisa anavizia uteuziHahaha usiogope sana hizo ni siasa, kaeleza yanayofanyika anayoyajua yeye , na hayo yako ni yako.
Haya mambo ni kama yanga na simba tu, chagua upande ushabikie. Lakini ushabiki haumzuii refa kutoa maamuzi.
Kunywa maji lala pumzika, move on.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sananafikiri ile kauli ya MKURUGENZI NAKULIPA MSHAHARA NAKUPA NYUMBA NA GARI HALAFU UNATANGAZA MPINZANI KASHINDA inaweza ikamaliza kesi video yake ikiwa played
Kwa ujumla magu amekuwa akifanya matamasha na ziara za kikazi hajafanya kampeni.Lissu kuna kitu anakitafuta eti tumefanya mikutano mingi kumshinda mgombea wa ccm pamoja na waziri mkuu.
anaongea hivyo ili aonekane kuwa amewakusanya watu wengi sana kuliko mgombea wa ccm wakati anajua ni uongo hana watu wengi kuliko mgombea wa ccm.anataka kuwaaminsha mabwana zake mabeberu kuwa anakubalika tz kumbe hamna lolote ili akishindwa aonekane kuwa ameonewa.
kwa mbinu hiyo kibaraka lissu amefili vibaya na kuangukia pua.
Ni kweli CCM bila wasanii na hasa Diamond hakuna watu watajaa kwenye mkutano wa CCMKwa ujumla magu amekuwa akifanya matamasha na ziara za kikazi hajafanya kampeni.
Kura zinapigwa hadharani, zihesabiwe hadharani na matokeo yatolewe hadharani. Hata dunia itamshangaa atakaye bishia.Lissu kuna kitu anakitafuta eti tumefanya mikutano mingi kumshinda mgombea wa ccm pamoja na waziri mkuu.
anaongea hivyo ili aonekane kuwa amewakusanya watu wengi sana kuliko mgombea wa ccm wakati anajua ni uongo hana watu wengi kuliko mgombea wa ccm.anataka kuwaaminsha mabwana zake mabeberu kuwa anakubalika tz kumbe hamna lolote ili akishindwa aonekane kuwa ameonewa.
kwa mbinu hiyo kibaraka lissu amefili vibaya na kuangukia pua.
CCM bila uchakachuaji bila wizi wa kura bila Polisiccm bila Tumeccm bila mahakamaccm bila wakurugenziccm bila Msajiliccm ni weupe sanaKura zinapigwa hadharani, zihesabiwe hadharani na matokeo yatolewe hadharani. Hata dunia itamshangaa atakaye bishia.
Kitu ambacho chama kikongwe hakipo tayar kufanya utaratibu huo.