inaitwa kuruka kimanga!Usione baada ya mauaji Magufuli anamtupia mpira afande Siro ,bashiru polepole na kumtaka wawajibike na wakamatwe wapelekwe huko wakajibu kesi,na kule Unguja anamtosa Sheni na makamo wake wote wakamatwe na katibu wao.
Magu atadai aliwaagiza wafanye uchaguzi wa haki na anaeshinda apewe ushindi wake hawakumsikiliza ,mbinu za mauaji walizopanga hazijui wala hakujulishwa.
Fatu Bensuda mwendesha mashtaka wa the Haggue ni mzungu?yamkini wewe Doto James Acha umbumbu basi?Kuwa na wakili mzungu hata Nyerere alikuwa na wakili mzungu.Ni wewe tu na Jiwe ndio mnaogopa wazungu maana lugha haipandi!Aache ujinga kila saa wazungu wazungu yaani domoni mwake kumejaa wazungu tu ohhh madini tutayaweka rehani kwa wazungu ohhh Amsterdam ohhh the Hague ohhh Mimi najua kingereza
Lisu lazima tumupnyesha kuwa Tanzania ni ya waswahili sio wazungu tarehe 28 October hatumpi kura
Mchakato wa uchaguzi huru na haki tayari umesha vurugwa na NEC pamoja na vyombo vya dola. Kilichobaki ni Mungu saidia.Mkuu Dada yangu mrembo beth , Uchaguzi unaendeshwa na Tume yetu huru ya Uchaguzi, NEC, Rais wa JMT ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, ametoa hakikisho la uchaguzi utakuwa huru na wa haki, haya mambo ya kutishiana 'The Hague' ya nini?, haya sio mambo!..
Mshamba wewe colonial mentality.Tatizo lipo kwetu sisi wa afrika.
Ukimpa mtu uongozi anataka atawale milele na kuumiza wenzake...
Tayari ICC The Hague wameandaa majarada ya Polisiccm na NECCCM Tumeccm wote walioshiriki uonevu na kuhatarisha AmaniFatu Bensuda mwendesha mashtaka wa the Haggue ni mzungu?yamkini wewe Doto James Acha umbumbu basi?Kuwa na wakili mzungu hata Nyerere alikuwa na wakili mzungu.Ni wewe tu na Jiwe ndio mnaogopa wazungu maana lugha haipandi!
Kama mtu mpenda visasi muonevu mnyanyasaji mpenda kuwabambikia kesi kesi watu kama mtukufu magufuli kaweza kuwa Rais sembuse mpenda haki kama Lisu?uzuri wa TAL anakubalika ndani ya nchi na nje ya nchi...siyo huyo mzee hata kwenye famila yake ya dam unaona kabisa kuna mushkeli wa kukubalika. Mama mwenye nyumba anaonekana suspecious kila wakati haamini huyu jamaa kupewa nafas kubwa kama urais wa nchi
Wewe ndiyo muongo unajishebedua kisa unavizia uteuziHahaha Kenge ameshanza kutoa dam masikioni Kwisha habari yako Tundu. Ameongopa pakubwa kuhusu idadi ya mikutano mwongo Sana kijana huyu, eti amefanya mikutano mingi zaidi ya waliofanya Majaliwa Samia na Magufuli big layer.
bless upMgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo amekutana na Waandishi wa habari kuzungumzia hali ya ya kampeni zake ilivyo mpaka sasa na kile kinachoendelea kuelekea Uchaguzi Mkuu mnamo tarehe 28/10/ 2020. katika Mkutano huo ambao waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali walihudhuria, Tundu Lissu ametolea ufafanuzi wa masuala mbalimbali...
Acha uongo ndugu. Wananchi wengi wanaojitokeza kwenye mikutano ya Rais Magufuli ni kutokana na yeye mwenyewe Raisi. Simba walileta msanii maarufu uwanja wa Taifa lakini walishindwa kujaza uwanja wa Taifa.Ni kweli CCM bila wasanii na hasa Diamond hakuna watu watajaa kwenye mkutano wa CCM
Mkuu, Utawaponza wenzio kwa huu uongo!Mahakama ni kama imeshajifia tu, kila kukicha uhalali wake unakuwa Questionable.
Huo ndio ukweli mkuu, imepoteza credibility yake.Mkuu, Utawaponza wenzio kwa huu uongo!
Sasa mahakama gani ina credibility, hizi za Tz?Huo ndio ukweli mkuu, imepoteza credibility yake.
Kajekudya ni mla makande tu kama wenzake. Hawa watu wanavyojikakamua humu huwezi amini kuwa ndio wanaoshindia na kulalia makande.Mkuu, Utawaponza wenzio kwa huu uongo!
Uko sahihi mkuu. Mla Makande hasaπππππKajekudya ni mla makande tu kama wenzake. Hawa watu wanavyojikakamua humu huwezi amini kuwa ndio wanaoshindia na kulalia makande.
Kiboko yenu 28 October hiiWewe ndiyo mpuuzi kwa kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu Mkoloni kaburu mweusi tokea chato
Kauli ya mdomoni si utekelezaji. Unaweza kutamka neno lakini lisifanyiwe kazi. Tayari figusu imeshaanza kuwaapisha mawakala wa upinzani. Je huo ndo uchaguzi wa haki na huru?Mkuu Dada yangu mrembo beth , Uchaguzi unaendeshwa na Tume yetu huru ya Uchaguzi, NEC, Rais wa JMT ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu, ametoa hakikisho la uchaguzi utakuwa huru na wa haki, haya mambo ya kutishiana 'The Hague' ya nini?, haya sio mambo!.
Kwa vile sio wote wanajua sheria, hivyo mtu mmoja kujua sheria, asitake kuwatisha watu wengine wote na 'The Hague', kuna mambo ya 'The Hague' na mambo ambayo sio ya 'The Hague', uchaguzi ni mambo yetu ya ndani, sio mambo ya 'The Hague', tusitishiane na 'The Hague'.
P