Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amepewa uhuru uliopitiliza

Tatizo lenu nyie mliozoea kusifu na kuabudu, hampendi/hamtaki kusikia mtu anakosoa au kusema ukweli. Mtu akisema ukweli mnakimbilia katukana, hahahahaha... Pole sana.
 
Tulieni tu dawa ziwaingie. Huyo ndo Lissu the greatest!
 
Hayo matusi ni yepi nyie vibwengo?
Ukweli ni mchungu na siku zote unauma. Ukweli utakao semwa ndani ya miezi miwili ya kampeni utaitesa sana CCM. Hata hivyo mengi yasemwayo si mapya, mitandao inahabarisha pamoja na serikali kuziba midomo wanahabari.
 

MATUSI GANI anayotoa kwa rais?
 

Serikali haitoi uhuru. Ni haki yake ya kikatiba ambayo serikali inatakiwa kuilinda.

Amandla...
 
Hayo hayajatokea kwa bahanti mbaya yameandaliwa na Magufuli anajua kuwa Lissu huyu wa sasa sio sawa na Lissu waliyempiga risasi.
Lissu wa sasa ni dhahabu iliyopitishwa kwenye moto hivyo hakuna tishio lingine
 
Wewe ni Lowassa yupi, unafahamu tunawadai zile pesa zetu mlizotuibia kwenye Richmond au mnafikiri tumesahau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…