Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
The point is: hilo sio tusiUtaratibu wote ulifuatwa katika manunuzi. Lete uzushi mwingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The point is: hilo sio tusiUtaratibu wote ulifuatwa katika manunuzi. Lete uzushi mwingine
Huyo muungwana ni mtego wa mataifa fulani makubwa.Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
kamshuhulikie wewe. kwani tusi la kampeni ni lipi? Hayo ndiyo matunda ya demokrasia ya vyama vingi, mbona hata Mh. Trump hapumui kwa kusemwa vibaya? wacha waseme yote sasa, maana baada ya uchaguzi hakuna kusema tena hadi 2025.Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Watanzania sisi wenye makato ya 15% ya bodi ya mikopo toka 6%?Lisu anajua katika uchaguzi huu anakwenda kuweka rekodi ya kushindwa vibaya kwaiyo ameamua afanye anavyotaka. Kinacho takiwa waendelee kumpuuza siku zenyewe zimesha kwisha.
Watanzania wanajua mama ya kumshikisha adabu Tarehe 28/10/2020
Huo mwimbo wa makabaila mabwanyenye wanataka kutuvamia ni ujinga tuHuyo muungwana ni mtego wa mataifa fulani makubwa.
Haguswi ili hao watu wasipate cha kuongea.
Ni fitina fulani za baadhi ya wazungu wenye kuiona afrika kama ni sehemu ya rasilimali za bure bure.
Lakini hii ni nchi iliyoasisiwa na Mwalimu Nyerere haiwezi kuja kuwa kama DRC na nchi nyingine zenye kuongozwa kimafia na matajiri fulani wachache wa Ulaya na Marekani.
Tunaposema UHURU ndio huu anaouongea LISSUNimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Dada Jane Lowassa sisi tuliokulia kijijini, huo tunaita ujanja wa kumnasa kware. Na keshaanza kuingia kwenye mtego!Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
zamaniii watanzania tuliamini kuwa bila Nyerere Tanzania itapaganyika, na baadae tukaamini kuwa Nyerere ndiye mkemeaji mkuu wa maovu wa viongozi wakiwemo marais, hivyo tuliamini kuwa Nyerere akifa Tanzania hapatakalika. Lakini wapi bhanaa!! Mzee wetu hayupo na sisi tupo bado.Watanzania sisi wenye makato ya 15% ya bodi ya mikopo toka 6%?
Watanzania sisi tusiopandishwa madaraja wala mishahara kazini?
Watanzania sisi tukistaafu au kuachishwa kazi mafao ni kitendawili?
Watanzania sisi tukikosoa tunakamatwa?
Watanzania sisi tusio na Uhuru wowote?
Watanzania sisi tukilima hakuna kuuza nje hata kama bei inaridhisha ya nje?
Watanzania sisi bila wao hatutapewa maendeleo?
Watanzania sisi tunanunua vitambulisho vya machinga bila risiti?
Au wewe unazungumzia watanganyika sijakuelewa...??!!
Ebu nifafanulie uenda wewe ndio sio mtanzania!!?
Mbona unaogopa mabadiliko ikiwa hata maisha yetu binafsi yanapata mabadiliko hata biashara sometimes mabadiliko hutokea, tukubali kubadiliko na tujue Tanzania ni zaidi ya Ccm au chama chochote, na mabadiliko ni kipimo kikubwa cha maendeleo sababu mabadiliko ufichua uovu na uonyesha uhalisia wa jambo lolote liwe zuri au baya.
Sababu ya uoga wa mabadiliko na uenda wana machafu mengi ndio maana wengine husema hatutoka kwa sanduku la kura, kiburi hiki kinatoka wapi?
How comes msipochagua huku maendeleo hamtapata?
Hii yote aidha pana machafu wanafichiana au uoga wa kutukuzwa hautakuwepo tena, bado unasema mtu anatumwa na wazungu, inakuwaje ikiwa bajeti 70% inatoka kwa hao mambuzi dume na mpokeaji ni wewe msemaji?!!
Wewe ni mtanzania kweli....???
Panic 100%Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Ulimsikia Trumph alivomsema Biden? Hii ni kampeni mama hakuna tusi hapo.Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Rudi shule mama.Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Elezea Matusi aliyotoa,Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Mbona hushauri ni jinsi gani ya kumdhibiti.Amepewa Uhuru wa kutosha. Adhibitiwe
Naomba usikitaje hicho chuo ili uwe umekisaidia. Kama cream yake ni pamoja na wewe, nakuomba usikitaje, tafadhali.Nina elimu kubwa kuliko wewe. Tena nimesoma kwenye chuo kinachoheshimika duniani. Utaniambia nini
Vipi ulitamani akamatwe kwa kosa gani kwa mfano maana huwa siwaelewi Ni kitu gani Tundu Lisu alikifanua mpaka mkawa na chuki nae kiasi hichoNimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.