Weka matusi hapa na sisi tuone, vinginevyo ni longo longo na kumpa mbwa jina baya tu.Nyie ndiyo mnamdanganya. Mtamponza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka matusi hapa na sisi tuone, vinginevyo ni longo longo na kumpa mbwa jina baya tu.Nyie ndiyo mnamdanganya. Mtamponza
Na awamu hii tukisema "kubughudhiwa" msidhani ni kuvutwa shati, kupigwa mbata au kusukumwa sukumwa.Sijaelewa labda. Una maana alipotua airport ilitakiwa abughudhiwe?
Tatizo lenu nyie mliozoea kusifu na kuabudu, hampendi/hamtaki kusikia mtu anakosoa au kusema ukweli. Mtu akisema ukweli mnakimbilia katukana, hahahahaha... Pole sana.Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Kwann unataka abughudhiwe??Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa
Taja tusi mojawapo. Au Hujui maana ya tusi?anatoa lugha ya matusi
Inategemea tafsiri yako ya “lugha za Matusi”. Kusema kwamba Magufuli kanunua ndege kwa njia za panya au kuwapa kazi Mayanga Constr Company kisanii sio matusiNa kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Tulieni tu dawa ziwaingie. Huyo ndo Lissu the greatest!Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Ukweli ni mchungu na siku zote unauma. Ukweli utakao semwa ndani ya miezi miwili ya kampeni utaitesa sana CCM. Hata hivyo mengi yasemwayo si mapya, mitandao inahabarisha pamoja na serikali kuziba midomo wanahabari.Hayo matusi ni yepi nyie vibwengo?
Umeanza habari za kichochezi shauri yako unatakiwa ubalance storyWakimkamata tutashitakiwa MIGA.
Amepewa Uhuru wa kutosha. Adhibitiwe
Imevumilia nini Embu sema???Serikali imevumilia vya kutosha
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini mehajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Si ulikuwa unaimba humu wewe na wenzako kuwa Chadema kimekufa sasa hao watu walitoka wapi?Hukuona alivyokusanya watu?
Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Kama yapi taja angalau moja bibie.Unajua Siku zote anayejua kuwa hili ni tusi au siyo tusi ni yule anayetukanwa. Matusi anayomtukana Magufuli yote tunayasikia. Asidhani ataendelea sana
Hayo hayajatokea kwa bahanti mbaya yameandaliwa na Magufuli anajua kuwa Lissu huyu wa sasa sio sawa na Lissu waliyempiga risasi.Nimejaribu kufuatilia mwenendo wa Tundu Lissu tangu mchakato wa kampeni uanze. Kiwango cha Uhuru aliopewa na serikali ni kikubwa sana.
Hata yeye mwenyewe nina uhakika wala hakutarajia. Yaani imekuwa kama surprise kwake. Haiwezekani ametua airport hajabughudhiwa. Amefanya kampeni kipindi cha kukusanya saini hajabughudhiwa. Ameenda kurudisha fomu tume ya uchaguzi hajabughudhiwa. Na kibaya zaidi kipindi hiki cha kampeni anatoa lugha ya matusi kwa Rais lakini hajabughudhiwa.
Sasa ni wakati wa kusema enough is enough. Upole huu wa serikali utatufikisha pabaya tusipokuwa makini kama nchi. Lazima huyu mtu awe held responsible kwa maneno na matendo yake
Unajitahidi kuficha rangi yako kwani unafiki ni nani mpaka usikuumbueWakimkamata tutashitakiwa MIGA.
Kwani tangu lini ccm ilikuwa na uvumilivu?Asijione mwamba sana. Uvumilivu wa ccm una mwisho