Pre GE2025 Tundu Lissu amesema ni kifo au kufukuzwa ndio vitamtenganisha na chama hicho

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025

"Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya Chama ahami mtu hapa labda kitokee kifo au kufukuzwa maana yake naona wanatoa (Mbowe) kauli kauli hivi kwamba ngoja tumalize, tukishinda tutamshughulikia, lakini kwamba mimi nitaenda CCM, mimi? "
Soma, Pia:

- Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antipas Lissu akizungumza kupitia kipindi cha One on one na Charles William amesema ni kifo au kufukuzwa ndio kutamtenganisha na chama hicho.

View attachment 3201460
.....mlengo akose jukwaa la kusemea apitee kisiasaaa....abakie kuwa meanaharakati.....sio mwanasiasa....sijui nini kitatokea upande ule manunuzi yamepamba moto
 
Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025

"Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya Chama ahami mtu hapa labda kitokee kifo au kufukuzwa maana yake naona wanatoa (Mbowe) kauli kauli hivi kwamba ngoja tumalize, tukishinda tutamshughulikia, lakini kwamba mimi nitaenda CCM, mimi? "
Soma, Pia:

- Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
Na yeye akishinda hatamfukuza Mbowe, Wenje na wengine waliotofautiana nae? Hizi tuhuma za rushwa ya Abduli atazifukia bila kuzitumia kuwashughulikia aliosema wanahusika?

Rafiki yake mkubwa aliapa kuwa akiondoka CHADEMA watu wakachome nyumba yake? Sasa hivi yuko wapi? Kwa nini yeye asiende kuungana nae?

Amandla...
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antipas Lissu akizungumza kupitia kipindi cha One on one na Charles William amesema ni kifo au kufukuzwa ndio kutamtenganisha na chama hicho.

View attachment 3201460
huyu mropokaji, hayo maneno msiyaamini. Tuna ushihidi wa kusema uongo kwa kuropka
Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025

"Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya Chama ahami mtu hapa labda kitokee kifo au kufukuzwa maana yake naona wanatoa (Mbowe) kauli kauli hivi kwamba ngoja tumalize, tukishinda tutamshughulikia, lakini kwamba mimi nitaenda CCM, mimi? "
Soma, Pia:

- Mbowe: Ilikuwa ghafla sana Lissu kutangaza kugombea nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA Taifa
Msimuamini huyu mropokaji. Tuna evidence ya kusema uongo
1. Clip hiyo
2. Leta ushahidi wa AAbdul...hakuna,..
3. Mara Mbowe kahongwa V8 mbili na serikali......docs hizo zikioneshwa zimenunuliwa kwenye mnada wa USA Embasy....L
 
Attachments

  • SINA MPANGO WA KUGOMBEA UENYEKITI LISU.mp4
    7.1 MB
Wana jamvi

Lissu anasema hawezi kunamia ACT kwa sababu ni kama atakuwa karuka mkojo kisha akakanyaga ........

Maneno hayo amesema akiwa Clouds Media
 
Back
Top Bottom