Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025
"Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya Chama ahami mtu hapa labda kitokee kifo au kufukuzwa maana yake naona wanatoa (Mbowe) kauli kauli hivi kwamba ngoja tumalize, tukishinda tutamshughulikia, lakini kwamba mimi nitaenda CCM, mimi? "
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antipas Lissu akizungumza kupitia kipindi cha One on one na Charles William amesema ni kifo au kufukuzwa ndio kutamtenganisha na chama hicho.

Na yeye akishinda hatamfukuza Mbowe, Wenje na wengine waliotofautiana nae? Hizi tuhuma za rushwa ya Abduli atazifukia bila kuzitumia kuwashughulikia aliosema wanahusika?
Rafiki yake mkubwa aliapa kuwa akiondoka CHADEMA watu wakachome nyumba yake? Sasa hivi yuko wapi? Kwa nini yeye asiende kuungana nae?
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Antipas Lissu akizungumza kupitia kipindi cha One on one na Charles William amesema ni kifo au kufukuzwa ndio kutamtenganisha na chama hicho.
Kuhusu kuendeea kusalia ndani ya Chama endapo atashndwa Uchaguzi Januari 21, 2025
"Nitakua Mwanachama, nitaendelea na mapambano kama Mwanachama (kwanini atabaki Chadema)...kwasababu najua mamilioni ya Wanachama na Wafuasi wa CHADEMA wanataka mabadiliko kwahiyo nitaendelea mapambano ndani ya Chama ahami mtu hapa labda kitokee kifo au kufukuzwa maana yake naona wanatoa (Mbowe) kauli kauli hivi kwamba ngoja tumalize, tukishinda tutamshughulikia, lakini kwamba mimi nitaenda CCM, mimi? "
Msimuamini huyu mropokaji. Tuna evidence ya kusema uongo
1. Clip hiyo
2. Leta ushahidi wa AAbdul...hakuna,..
3. Mara Mbowe kahongwa V8 mbili na serikali......docs hizo zikioneshwa zimenunuliwa kwenye mnada wa USA Embasy....L