Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Hayo yote uliyo yataja yamefanywa na kodi za watanzania, hakuna kiongozi wa ccm aliye toa fedha zake mfukoni kuyafanya hayo.

Kawadanganye mazuzu wenzako
 

Hapo ndipo uongozi wa CHADEMA, nanyi wafuasi, msipojitambua kwa kumshamgmbulia Magufuli binafsi. Laiti mngejua yeye hafanyi yatokayo kichwani mwake bali anatekeleza Ilani ya CCM, 2015, vivyo hivyo, Lissu, mgombea wa CHADEMA, angerejea kueleza Ilani ya chama (kama ipo) imetekelezwa kwa kiwango gani.

Lissu, hapo alipo hana kipimo chochote cha uongozi, kama mtu binafsi wala kichama. Kibinafsi anatetea kupigwa kwake risasi, kichama hathubutu kueleza ruzuku imetumikaje ili wananchi wakiamini chama kupitia viongozu wake.

Shutuma na tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za chama dhidi ya Mbowe, M/kiti bado ni mbichi kabisa, anapaswa kumsafisha kwanza, ili awe na uhalali wa kumshambulia Magufuli. Nafasi anayogombea inamtaka afanye hivyo, ili jamii iamini akipewa madaraka ya kuongoza nchi hii siyo tu atakemea ubadhirifu wa mali ya umma bali pia atachukua hatua kali dhidi ya wahusika.

Hakuna haki isiyo na wajibu au uhuru usio na mipaka, kama ilivyo kwenye Katiba ya JMT (1977), Ibara ya 30.-(1) Haki na uhuru wa binadamu ambavyo misingi yake imeorodheshwa katika Katiba hii havitatumiwa na mtu mmoja kwa maana ambayo itasababisha kuingiliwa kati au kukatizwa kwa haki na uhuru wa watu wengine au maslahi ya umma.
 
Hayo yote uliyo yataja yamefanywa na kodi za watanzania, hakuna kiongozi wa ccm aliye toa fedha zake mfukoni kuyafanya hayo.

Kawadanganye mazuzu wenzako
Ni vizuri unatambua na kukiri kuwa kodi za watanzania zinatumika inavyopaswa. Hivyo basi, wa kudanganywa ni wale wasiojua kuwa mnaogopa kuhoji viongozi wa CHADEMA kuhusu matumizi ya Ruzuku, kodi ya wananchi.
 
Lissu nampenda kwa kazi zake za kutetea maslahi ya nchi na kujitoa kwake kuwatetea wananchi wanyonge. Huyu akisema ni kiongozi wa wanyonge ataonekana anamaanisha anachokisema.

Mimi CCM damudamu, ila kwa nature ya siasa za kubana upinzani kwa kwanyima fursa ya kugombea na kuwabambikiza makosa ya ajabu ajabu, hakika itakuwa dhambi kwangu kuchagua chama changu kinachosimamia huu uovu ambao ni muendelezo wa siasa za mwaka jana 2019 kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.

Roho itendayo dhambi ndiyo itakayokufa, wanaCCM wenzangu msipotenda HAKI mtakufa, haijalishi una sifa na ukuu kiasi gani.

HAKI HUINUA TAIFA
 

Nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko. Tangu TANU nimeishika ahadi hii namba 8.

Tuliaswa enzi hizo kuwa KATIBA ndio sheria mama wa nchi, ndiye mlinzi na kanuni ya nchi. Je, ilani ya chama changu cha CCM ni kubwa kuliko katiba ya Jamhuri? Je , kanuni za NEC ni kubwa kuliko sheria mama?

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa
 
Msaliti ni yule anayewabambikia kesi wapinzani kuwaziba midomo wasiongelee ujenzi wa cheto airport kafanya usaliti kachukua pesa za viwanda kwenda kujenga chato kutengeneza mbuga
 
Ni bora hashimu mzee wa ubwabwa anaweza kuongoza nchi kuliko huyo msukule wenu
Wewe mwenyewe ni msukukule upo uvunguni mwa cyprian Musiba unakesha ukivuta Bangi unawezaje kujua chochote?
 
Deni la Taifa limetumikaje, hilo ndilo liwe swali la msingi, kama ambavyo WaTz, wanachama na wafuasii wa CHADEMA wanavyotaka waelezwe kuhusu matumizi ya ruzuku.
Matumizi ya Ruzuku ni mabaya kuliko ruzuku zote siku CAG akipita huko lazima CCM yote itayumba mpaka akina kinana, makamba na akina polepole watakwenda jela
 
Kwel wewe ni monyooo tena ya nguruwe
Uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Kipimo cha umbumbumbu juha zuzu fala hapa jf huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani, mbona ID yako ni ya kishamba lakini hakuna wa kuhangaika nayo? Hapa hoja si ID au jina mtu, wapo wenye majina mazuri lakini hawana hoja na wapo wenye vimajina vya kingereza kama wewe lakini wana Akili zao siyo kama wewe mvuta Bangi.
 
Wavuta Bangi toka gheto kwa cyprian Musiba wamefunguliwa tujiandae kwa usumbufu mitandaoni
 
Povu limekutoka,wacha nikukereeeeee minyoo ,nakukeraaaaaa minyooòo ya nguruwe,sisi tuko amani telee maana ushindi wetu upende usipende ,wewe baki na msukule wako kibaraka wa mabeberu,hii nchi ataisikia kwa redio tu namna ya kuitawala ila sio yy kuchukua dola,NAKUKERAAAAAA WACHA NIMUKEREEEE MINYOO YA NGURUWE
 
Mabeberu ni wiomtuma kuleta machafuko ili watumie nafasi hiyo kutawala nchi kiuchumi. Yeye anaamini bila hao nchi haiwezi kuendelea, lakini katika miaka 5 ya utawala wa Serikali iliyoko madarakani imethibitisha kwa vitendo maana ya kujitegemea.
Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora form wapinzani vinavyofanywa na CCM ndivyo vitaleta machafuko CCM wametumwa toka chato kuleta vurugu? CCM wakienda ulaya kuomba misaada huwaita wazungu wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu wa CCM hukimbilia kuwaita wanaume wenzao mabeberu utazani CCM ni mbuzi jike.
 
Bangi zimkukolea nikiendelea kuhangaika nq mvuta Bangi msukule uliyepewa mimba huko gheto ni matumizi mabaya ya jukwaa la JF endelea kuvuta Bangi nakuacha mie najikita na Hoja.
 
Nakukeraaaaa Magufuli oyeeeeeee,the betrayer does not deserve to survive.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bangi zimkukolea nikiendelea kuhangaika nq mvuta Bangi msukule uliyepewa mimba huko gheto ni matumizi mabaya ya jukwaa la JF endelea kuvuta Bangi nakuacha mie najikita na Hoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…