Uchaguzi 2020 Tundu Lissu ametufumbua macho na kutujaza kujiamini kuwa Tanzania hii ni mali ya watanzania wote

Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
 
Kwanini nyinyi mnao muogopa mh Lissu msiitwe ndiyo ma zombie?
Uzuri unajijua kila upande unaohamia lazima pashindwe. Sijui huonagi mbele wala hunusi uhalisia. Wee ushakuwa legend hivi vitu vya hovyohovyo waachie juniors
 
Hakika mkuu, kama baba mwenye nyumba unawakimbia wageni ni aibu sana
 
Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
Hiyo Marekani inayo wajazia bakuli lenu?
 
Uzuri unajijua kila upande unaohamia lazima pashindwe. Sijui huonagi mbele wala hunusi uhalisia. Wee ushakuwa legend hivi vitu vya hovyohovyo waachie juniors
Huna sifa ya kunishauri
 
Hizo ni ndoto chafu ,Mr.lisu hafai kuwa kiongozi katika level ya urais,anaweza kuibua mambo ila sio kutawala nchi
Ndiye rais tayari maana watanzania wamesha amua kumchagua
 
Yani ungekua karibu ningepa pespi ya baridiii maana ùmenena vyema na ukwel mtupu
Huyu ni kibaraka wa mabeberu, kaulize Angola , libya, Congo, etc jinsi vibaraka wenzake wa huko walivyoharibu nchi, Tundu lissu Kuna watu wa ulaya na marekani wapo nyuma yake kwa maslai yao na rasilimali zetu
 
Yani ungekua karibu ningepa pespi ya baridiii maana ùmenena vyema na ukwel mtupu
Mataga kwa sasa mmebakia kutiana moyo wakati mgonjwa wenu yupo icu na gesi imekata.
 
Watawala waovu walikuwa wameshawaaminisha watanzania kuwa tanzania ni mali ya watawala, na kwamba watawaliwa hawaruhusiwi kuhoji, wala kusema chochote zaidi ya kufuata kile kitakachoamuliwa na watawala, kuhoji ikawa kosa la jinai na kila mtu akaogopa kumuongea bwana yule akihofia usalama wake!

Ilikuwa ukitamka jina la bwana yule katika public basi ni katika kusifu na kumuabudu.

Ikafika mbali hata baadhi ya wajinga na wapumbavu wakamuita "mungu" na "yesu" mbaya zaidi eti wakadai ipo siku "MUNGU" atashuka kuja kumuomba msaada mtu yule, hii kufuru kabisa kuwahi kutokea, shame upon the dictator and his failed system!

Viva Mtanzania lissu, umewaondolea madikteta ule utukufu waliodhani wanao, walijifanya miungumtu, aibu yao sasa vile tunawadharau, sio kitu wao!
 
Mwisho wa siku itabaki kua historia tu chapter itapita
 
Hakuna kitu kibaya kama kujipa moyo kwa imagination,watu wengi wanawaza kumiliki magorofa wakikaa chini ya mti na mwishowe wanakufa na umasikini wao,kitu pekee tundu lisu anaweza fanya ni udiwani kwa sasa maanabhata ubunge ulimshimda
Mataga kwa sasa mmebakia kutiana moyo wakati mgonjwa wenu yupo icu na gesi imekata. View attachment 1549260
 
Huyu mwamba alinchosha aliposema Passports size za JPM zimekaa kiupande hahahahah.

Utawala wa Lissu utakua burudani sana 2020-2025
 
Aliyepo kapindisha nchi kafanya nchi haieleweki uchumi haueleweki maisha ya wananchi magumu kaua sekta binafsi inayotengeneza ajira kwa vijana, kagoma kuajiri kagoma kuongeza mishahara ameunda genge la watu wasiojulikana kuongoza nchi kwa mkono wa chuma watanzania tumemkataa sasa anaweweseka. Ni LISU tu atatuokoa na haya mateso.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…