Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu amezungumza sababu ambazo zimemfanya kutoshiriki kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akieleza kuwa kutojiandikisha kupiga kura hakumuondolei mtu yeyote kuzungumzia uchaguzi husika "Nashangaa ha watu wanapewaje vyeo vikubwa na hawana uelewa"
Pia, Soma: Amos Makalla: Tundu Lissu hana haki ya kupiga Kura katika nchi hii
Lissu ameyasema hayo akizungumza kutoka nchini Ubelgiji, kwenye kipindi cha Medani za Siasa cha kituo cha habari cha Star TV kinachoendeshwa na mtangazaji Edwin Odemba.