Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu amezungumza sababu ambazo zimemfanya kutoshiriki kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akieleza kuwa kutojiandikisha kupiga kura hakumuondolei mtu yeyote kuzungumzia uchaguzi husika "Nashangaa ha watu wanapewaje vyeo vikubwa na hawana uelewa"
Lissu ameyasema hayo akizungumza kutoka nchini Ubelgiji, kwenye kipindi cha Medani za Siasa cha kituo cha habari cha Star TV kinachoendeshwa na mtangazaji Edwin Odemba.
Mtu kama huyu eti bado ni makamu mwenyekiti wa chama chadema haiwezi chukua dola hujajiandikisha hupigi kura unategemea nini bado kuna misekure itajitokeza kumtetea!

LISSU ANATETEA UJINGA WAKE YAANI HAJAJIANDIKISHA BADO ANAONA NI SAWA? BAADAE AJE ASEME AMEIBIWA KURA YAANI MPUMBAVU KATIKA UBORA WAKE WA KUTETEA UJINGA WAKE

Hivi kulikuwa na sababu gani za msingi za kuikataa rulling ya mahakama kuu iliyosema si halali uchaguzi kusimamiwa na Tamisemi kwa sababu kuna mgongano wa kimaslahi kwani viongozi wa tamisemi ni wateule wa mwenyekiti wa chama cha siasa?Na ikapendekezwa uchaguzi wa serikali za mitaa usimamiwe na tume huru ya uchaguzi kwa bahati mbaya kuna watu wakakwamisha hiyo sheria kutungwa na kanuni zake