Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Waliompiga risasi ili afe kabla yake wengi wameshatangulia kabla yake kwa lengo la kuficha ushahidi,wote watatangulia kabla yake
May be hata waliuawa ili kupoteza ushahidi
 
ccm bwana mtatuma police au mtadeal na watu ? sina chama ila upumbavu wa ccm umepitiliza kipimo, na ndio mana majitu nlokuwa nasoma nayo yaliokuwa yanashika mkia wote wapo ccm mpaka huwa nawacheka kwakweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
yaani dunia ya Sasa bado unajivunia cheti Cha elimu😲😲?Ukija kwangu ukanambia wewe Ni msomi, na hauna pesa, nitakuona bwege tu😂😂😂😂.Kwahiyo mkuu usiwacheke, wewe uliwazidi darasani, na wao wanakuzidi au pengine labda mmelingana huku mtaani.
 
Staki kuamini JPM akipiga zake kampeni LISSU

Anavaaga earphone anamsikiliza kimya kimya

aisee MAGU ni mukare yaoo,Rais yanguuu.baba

LISSU endelea hvyo hvyo sikiliza sumu za J.P.M

#Lissuumebugi
Kwa watu walio soma vileee vitabu vya literature kuna mambo Yana reflect kabxaa mfano kwenye “An Enemy Of The People” Tundu Lissu anasimama kama Dr. Stockman pia kuna “His Excellency the Head of The State” Humu unamkuta Makonda na Magufuli By the way Literature is real
 
Tatizo hakuwa washereheshaji. JPM anawahitaki Wazee wa Busara warudi kundini.
 
Hilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
Nalijibu mimi Rais hatoi pesa ya matibubu waliodhurika nchi hii so Tundu Lissu tu Rais hajui na wala hatakiwi kujibu mpka apate ripoti kamili ya tukio na aliekusudiwa ni yoyote msaliti kama Tundu ni msaliti na yeye alikusudiwa pumbavuu hatuwezi kuwa nchi ya kutetea wasaliti uarabuni wanauwawa tu na hata marekani urusi wasaliti wananyooshwa tu HATUWEZI TETEA WATU WANATETEA WEZI WA MALI MAMA TANZANIA WAUWAWE TU.
 
Nd
Mnafiki kweli kweli bwana huyu:

1. Uchunguzi kuwabaini wauwaji uko wapi?
2. Matibabu kamnyima
3. Ubunge wamefukuza
4. Vyombo vya habari anamnyima

Hayo mapenzi yameanza lini?

Mshamba sana huyu bwana.
Ndugu yangu unatia wasi wasi kwamba kiswahili hujui sijui kama ni Mtanzania uliyoandika na ushamba ni vitu viwili tofauti au una tatizo la ufahamu?
 

Hizo ngonjera wapelekeeni watoto wa chekechea shule ya msingi kiembe samaki, Atleast they will buy that crap story of yours. Ninyi kwa kiherehere chenu mjue kuwa waliompiga risasi Lissu ni watu wake wa karibu na msiwakamate!? Ninyi hao?

Kama huwa mnawabambikia kesi ninini kimewapa uvumilivu wa kuwasitiri muda wote huo, wacheni unafiki. Mnawajua kuwa wapo jikoni na hawagusiki ndio maana mmekaa kimya.
 
WANAO MHUJUMU LISSU NI CHADEMA HAIWEZEKANI MBOWE AFUKUZE TBC WAKATI ANAJUA KABISA HAWEZI FIKA NCHI NZIMA LAKINI TBC INAMFIKISHA HUKO KOTE IWE KWA KUKATAKATA BUT ITS BETTER SOMETHING THAN NOTHING HUYU MBOE NDIO ALIWATOA WABUNGE WAKE KISA CORONA LEO ANADUNDA BILA BALAKOA MTUAMBIE WHY
 
Ingelikuwa jambo la maana sana kama wangemlipa mafao yake ya ubunge Spika aliyosimamia kuyeyusha walau ingelileta ahueni kwa waTanzania wenye uchungu sivyo ni wazi kampeni za uchaguzi huu znaendelea kwenye dimbwi la damu ya asiyekuwa na hatia na hata mwenyezi Mungu, Allah atawaonyesha wasiojulikana, ni bora wajitokeze masamaha na maridhiano yakawepo.
 
Kwa hiyo amekiri kuwa yeye ndiye Msaliti wa Watanzania aliyekuwa anaongelewa na Rais?

Sasa analalamika nini?

Unapoisaliti nchi unatunguliwa tu, hata kwao Kenya wasaliti huchinjwa kabisa.
 
Lissu ni habari nyingine kabisa, wacha Jiwe ajitafune baada ya kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…