Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Labda achukue nchi ya pale koromitdjeChadema nyie pigeni kelele wee ila magu anachukua nchi tena
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda achukue nchi ya pale koromitdjeChadema nyie pigeni kelele wee ila magu anachukua nchi tena
Na youtube nao wamewabagua?Cdm hatuna haja ya kuwa na vyombo vya habari kama tbc ambao ni wabaguzi wa rangi
Keshawambia hamshindi na kweliWewe kahangaike na mgombea wenu aliye kata tamaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]JPM alijifanyia vetting mwenyewe kupitia uchapa kazi wake. Na ndio utakao mbeba mpaka kesho kama Kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea.
We kima kweli mkuu, yaani dunia ya Sasa bado unajivunia cheti Cha elimu[emoji44][emoji44]?Ukija kwangu ukanambia wewe Ni msomi, na hauna pesa, nitakuona bwege mmoja tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kwahiyo mkuu usiwacheke, wewe uliwazidi darasani, na wao wanakuzidi au pengine labda mmelingana huku mtaani.
Je, baada ya haya uliyoyasema waweza jibu maswali ya Lissu?Lissu nae asitake kufanya tukio lake la kupigwa risasi za plastics kuwa la kitaifa. Risasi ndo imekuwa risasi kwani yeye ndo Mtu wa kwanza dunian kula shaba.
Wapo kina jf Kennedy na kina linkolin walikula za Moto kweli Achana na maigizo haya ya mkenya lakini mbona siyo mijadala ya taifa la USA japo walipigwa risasi wakiwa madarakani.
Nilitegemea Tundu Lissu kumpuuza Magufuli kwa kile alichomusemea Ila kitu uvumilivu kwa TL ndo hakuna kabisa.
jikite kwenye hoja wewe msukumaLissu atazipata kura kadhaa za huruma. Ametumia nguvu kubwa katika kuzitafuta.
Mbona kampeni za Jiwe zimejaa yaliyopita tu! Nimefanya hiki nimefanya hiki, ndani ya muda huo ndio na hiki Cha risasi kikatokea. Ni muda uleule. Kama la risasi limepita basi na habari za makinikia na madege muda wake umepita vilevile.Yeye amependwa sasa hivi aachane na yaliyokwishapita.
Utajua tu, Wajinga wote huuliza hili swali, na hata Viongozi Wajinga pia huuliza hili swaliHuo umma mlio nao ni upi? Au uma wakutafunia viepe?
SISI SIO WAJINGANa kama anampenda ni kwanini alimnyima matibabu na kumvua ubunge akiwa mgonjwa?
JPM alijifanyia vetting mwenyewe kupitia uchapa kazi wake. Na ndio utakao mbeba mpaka kesho kama Kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea.
Mbuzi kala mkeka sasa wapambe naona mnatapatapa sijui mtaishije wakati yeye anajiendea kwao koromitdje kupumzikaNa youtube nao wamewabagua?
Keshawambia hamshindi na kweli
Sawa acha niendelee kuimba mapambio yangu, Ni afadhali hivi kuliko kubwekabweka huku Kama mbwa koko.Kila mmoja ana njia yake ya kupambana na maisha, Baki na yako na me nibaki na yangu.🚶hawana namna ya kujikwamua zaid ya ccm ndio kinachonichekesha, kuna vitu vingi vya kufanya mkuu sio lazima uwe mpiga tarumbeta wa ccm ndio upate hela na hili ndio ninalowacheka hawa wapuuz wenzako, watu mbona tunapambana na maisha na sio lazima tuwe praise team mkuu ? endeleen kusifu na kuimba mapambio inzi wa kijani ninyi,
TBC ni mamlukiTBC simuliwafukuza wenyewe, na utube nao wameminywa? Nyie vipi?
Ilikuwa ni faulu kusema vile. Mfano unamwambia mgonjwa unampenda wakati anaugulia mamivu, hana hela ya matibabu tena unasema akikuamkia basi utampa juisi.Utakuwa unajifurahisha wewe.
Kamwulize Joni ati anampenda Lissu.
Hayo mapenzi yameanza lini? Kabla au baada ya risasi?
Ndiye Joni huyo unayemwongelea hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiwe huyu huyu?