Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Uchapakazi wa kujichapia fomu moja tu ya kugombea urais?
Ndio huu ni wakati wa kuvuna baada ya majasho mingimingi kumwagika ndani ya miaka 5.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchapakazi wa kujichapia fomu moja tu ya kugombea urais?
Akijibu mnishtue“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16.
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. Tundu A Lissu.
"Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake aliyoitoa wakati akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anamsumbua sumbua katika agenda yake ya madini na kwamba bora msaliti auwawe"-; Mhe Lissu
Na kura tutampa mpaka ashangaeHili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Umpiganie dicteta muuaji. Ama kweli ukiwa CCM unakuwa brainless.[emoji23][emoji23], Watu waingie barabarani, jiwe akimbie wapi[emoji44]? Hata sisi tunauwezo wa kuingia road kumpambania,msitutishe na slogan zenu mitamdaoni ambazo hamuwezi kizitekeleza.Tutadeal na kila kima, atakaejaribu kuleta upumbavu.[emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Ule UHUNU NA UFEDHULI wa kuamuru Lissu achapwe zile mvua za risasi tena kwa kutumia SILAHA ZA KIVITA, lazima usemwe ili usije kujirudia tena. Na muda wa kusema maovu yote ni sasa, wewe unataka yasemwe lini?Unajitoa ufahamu? Inaitwa unajifanya hamnazo? Wewe hujui kwa nini TBC alifukuzwa? Hujui alikuwa anatekeleza maagizo tokea mbinguni?
Subiri kidogo sindano iwaingie.
Tafuta za namna gani? Hata zile risasi 16 utakuwa unadhani kuwa jiwe anasingiziwa tu.
Bila shaka yalikuwa ni mawe ya manati.
1-Uchunguzi unaendelea na hauwezi kukamilika hadi ahojiwe key person lakini kafichwa na Chadema ambaye ni Dereva wa lissuMnafiki kweli kweli bwana huyu:
1. Uchunguzi kuwabaini wauwaji uko wapi?
2. Matibabu kamnyima
3. Ubunge wamefukuza
4. Vyombo vya habari anamnyima
Hayo mapenzi yameanza lini?
Mshamba sana huyu bwana.
Ni nondo gani unadhani anatakiwa kuzishusha?Tatizo la mgombea wa CCM hana sera wala hoja nzito za kuweza kuwavutia wananchi, siku zote yeye huongea mambo rahisi rahisi tu ambayo yanaonekana ni yenye tija kwa watu wenye akili duni na upofu wa kufikiria. Viongozi makini duniani huwa hazungumzii vitu vyepesi ktk nyakati za kampeni za uraisi, bali hushusha nondo zilizojaa madini tupu.
Haya ndiyo mapungufu ya kiongozi wa nchi kukwepa kuongea ama kushauriana na viongozi wengine mashuhuri hapa duniani kwa kificho cha kubana matumizi. Kwa kuwa anajikuta hawezi kuongelea mambo muhimu yenye kugusa maslahi mapana ya Watanzania wenye fikra pana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena kaingia mzima mzima.Saafi kabisa Mzee Pombe ameingia mwenyewe kwenye 18 za Lissu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tusubiri majibu kutoka kwa uncle meko.Na kama anampenda ni kwanini alimnyima matibabu na kumvua ubunge akiwa mgonjwa?
Na mie pia nahitaji kujuaJiwe ana maswali makubwa ya kujibu. sulubu inamsubiri!
sky nisaidie ukitaka ku-quote sentensi mbali mbali then zote ukazijibu kwa pamoja unafanyaje?
Sasa si ndo wakati mzuri huu wa kutoa siri hizo, ili huyo lissu na wenzake waumbuke, mmelikoroga hilo lazima mlinywe.Lissu akitajiwa walioshiriki kuandaa shambulio lake atazirai kwani watu hao ni watu wake wa karibu sana! Huu si muda wa mambo haya. Uchaguzi utakapoisha atayajua mahakamani kwani wale mashahidi wawili muhimu kwenye kesi yake waliokuwa wanasubiriwa kurejea nchini sasa wamesharejea nchini.
Tena huyo meko kwa kuhemkwa na kupenda sifa, mbona angeweka press 1 kubwa San, kutoa hitimisho juu ya hilo,Hizo ngonjera wapelekeeni watoto wa chekechea shule ya msingi kiembe samaki, Atleast they will buy that crap story of yours. Ninyi kwa kiherehere chenu mjue kuwa waliompiga risasi Lissu ni watu wake wa karibu na msiwakamate!? Ninyi hao?
Kama huwa mnawabambikia kesi ninini kimewapa uvumilivu wa kuwasitiri muda wote huo, wacheni unafiki. Mnawajua kuwa wapo jikoni na hawagusiki ndio maana mmekaa kimya.
Nimetolea mifano ya mikutano ya uzinduzi.
Ama ulitaka nitoe mfano wa mikutano ya Ikungi kijijini. Nayo iko pia. Karata ya uchaguzi mkuu 2020 mliyo isubiria kwa hamu nyie wapinzani wa JPM imebuma. Mtafute chengine.
Majibu anayo dreva mliye mficha asitoe ushahidi wa kuisaidia polisi kufanya uchunguzi.Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Huyu jamaa kama siyo NEC 28 angeingia Ikulu mapema“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. Tundu A Lissu.
"Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake aliyoitoa wakati akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anamsumbua sumbua katika agenda yake ya madini na kwamba bora msaliti auwawe"-; Mhe Lissu
Si mlisema mnamsubiri Lissu ili uchunguzi uendelee, jamaa kafika mbona kimya?Majibu anayo dreva mliye mficha asitoe ushahidi wa kuisaidia polisi kufanya uchunguzi.
MAGUFULI4LIFE.
Kama mlalamikaji L kauchuna yasifatiliwe polisi wana haja gani kuifatilia tamthilia ya yake. We huoni kama TL kauchuna movie yake isibumburuke.Si mlisema mnamsubiri Lissu ili uchunguzi uendelee, jamaa kafika mbona kimya?
Nini maana ya mlalamikaji kisheria?Kama mlalamikaji L kauchuna yasifatiliwe polisi wana haja gani kuifatilia tamthilia ya yake. We huoni kama TL kauchuna movie yake isibumburuke.
MAGUFULI4LIFE.