ipyax
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 4,247
- 6,578
May be hata waliuawa ili kupoteza ushahidiWaliompiga risasi ili afe kabla yake wengi wameshatangulia kabla yake kwa lengo la kuficha ushahidi,wote watatangulia kabla yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
May be hata waliuawa ili kupoteza ushahidiWaliompiga risasi ili afe kabla yake wengi wameshatangulia kabla yake kwa lengo la kuficha ushahidi,wote watatangulia kabla yake
yaani dunia ya Sasa bado unajivunia cheti Cha elimu😲😲?Ukija kwangu ukanambia wewe Ni msomi, na hauna pesa, nitakuona bwege tu😂😂😂😂.Kwahiyo mkuu usiwacheke, wewe uliwazidi darasani, na wao wanakuzidi au pengine labda mmelingana huku mtaani.ccm bwana mtatuma police au mtadeal na watu ? sina chama ila upumbavu wa ccm umepitiliza kipimo, na ndio mana majitu nlokuwa nasoma nayo yaliokuwa yanashika mkia wote wapo ccm mpaka huwa nawacheka kwakweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwa watu walio soma vileee vitabu vya literature kuna mambo Yana reflect kabxaa mfano kwenye “An Enemy Of The People” Tundu Lissu anasimama kama Dr. Stockman pia kuna “His Excellency the Head of The State” Humu unamkuta Makonda na Magufuli By the way Literature is realStaki kuamini JPM akipiga zake kampeni LISSU
Anavaaga earphone anamsikiliza kimya kimya
aisee MAGU ni mukare yaoo,Rais yanguuu.baba
LISSU endelea hvyo hvyo sikiliza sumu za J.P.M
#Lissuumebugi
Tatizo hakuwa washereheshaji. JPM anawahitaki Wazee wa Busara warudi kundini.Magu ameshapaniki na Sasa dalili zinaonyesha ataviamrisha vyombo vya usalama kuchezea uchaguzi.
Na hapo ndio mtego wa Lissu ulipo
Yaani mwaka huu uchaguzi uwe huru Lissu mapema anachukua uchaguzi uchezewe watu waingie barabarani Jiwe akimbie Ikulu
Patamu Sana mwaka huu.
Nalijibu mimi Rais hatoi pesa ya matibubu waliodhurika nchi hii so Tundu Lissu tu Rais hajui na wala hatakiwi kujibu mpka apate ripoti kamili ya tukio na aliekusudiwa ni yoyote msaliti kama Tundu ni msaliti na yeye alikusudiwa pumbavuu hatuwezi kuwa nchi ya kutetea wasaliti uarabuni wanauwawa tu na hata marekani urusi wasaliti wananyooshwa tu HATUWEZI TETEA WATU WANATETEA WEZI WA MALI MAMA TANZANIA WAUWAWE TU.Hilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
KWANI YE NANI HADI AWE SPECIAL MATIBABU ALIPEWA NA MBEBERUNa kama anampenda ni kwanini alimnyima matibabu na kumvua ubunge akiwa mgonjwa?
Ndugu yangu unatia wasi wasi kwamba kiswahili hujui sijui kama ni Mtanzania uliyoandika na ushamba ni vitu viwili tofauti au una tatizo la ufahamu?Mnafiki kweli kweli bwana huyu:
1. Uchunguzi kuwabaini wauwaji uko wapi?
2. Matibabu kamnyima
3. Ubunge wamefukuza
4. Vyombo vya habari anamnyima
Hayo mapenzi yameanza lini?
Mshamba sana huyu bwana.
Lissu akitajiwa walioshiriki kuandaa shambulio lake atazirai kwani watu hao ni watu wake wa karibu sana! Huu si muda wa mambo haya. Uchaguzi utakapoisha atayajua mahakamani kwani wale mashahidi wawili muhimu kwenye kesi yake waliokuwa wanasubiriwa kurejea nchini sasa wamesharejea nchini.
Huwa hivo ukitumwa kuuwa ni lzm uuwawe ili kuficha ushahidi,sababu hayana akili ayalijui hilo.May be hata waliuawa ili kupoteza ushahidi
Kwa hiyo amekiri kuwa yeye ndiye Msaliti wa Watanzania aliyekuwa anaongelewa na Rais?“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. Tundu A Lissu.
"Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake aliyoitoa wakati akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anamsumbua sumbua katika agenda yake ya madini na kwamba bora msaliti auwawe"-; Mhe Lissu
View attachment 1555977
Leo anatafuta kumuengua mwenzake (Boniface ex DSM Mayor) apite bila kupingwa, apite bila kupimwa uwezo wa akikli zake kwa kura kama alivyosema 2015!! Mshana JrImagine wanakutana kwenye mjadala hawaView attachment 1555660
Lissu ni habari nyingine kabisa, wacha Jiwe ajitafune baada ya kujikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. Tundu A Lissu.
"Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake aliyoitoa wakati akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anamsumbua sumbua katika agenda yake ya madini na kwamba bora msaliti auwawe"-; Mhe Lissu
View attachment 1555977
Hata Jiwe mwenyewe anajua kuwa safari hii amekutana na kisiki cha mpingoamemfungia kazi! Hadharani! salaaaaaaaaaaaale!