Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

JPM alijifanyia vetting mwenyewe kupitia uchapa kazi wake. Na ndio utakao mbeba mpaka kesho kama Kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiwe huyu huyu?
 

Hawana namna ya kujikwamua zaid ya CCM ndio kinachonichekesha, kuna vitu vingi vya kufanya mkuu sio lazima uwe mpiga tarumbeta wa CCM ndio upate hela na hili ndio ninalowacheka hawa wapuuz wenzako, watu mbona tunapambana na maisha na sio lazima tuwe praise team mkuu? Endeleeni kusifu na kuimba mapambio inzi wa kijani ninyi.
 
Je, baada ya haya uliyoyasema waweza jibu maswali ya Lissu?
 
Yeye amependwa sasa hivi aachane na yaliyokwishapita.
Mbona kampeni za Jiwe zimejaa yaliyopita tu! Nimefanya hiki nimefanya hiki, ndani ya muda huo ndio na hiki Cha risasi kikatokea. Ni muda uleule. Kama la risasi limepita basi na habari za makinikia na madege muda wake umepita vilevile.
 
Mwanasiasa akikuambia usiku mwema, toka nje kwanza ukaangalie kama kweli kuna giza ndio urudi ndani ujibu salaam yake. Upendo ! Upendo! Da! wana si-hasa ni nooma!
 
Uchapakazi wa kujichapia fomu moja tu ya kugombea urais?
JPM alijifanyia vetting mwenyewe kupitia uchapa kazi wake. Na ndio utakao mbeba mpaka kesho kama Kiongozi bora kabisa kuwahi kutokea.
 
Na youtube nao wamewabagua?
Keshawambia hamshindi na kweli
Mbuzi kala mkeka sasa wapambe naona mnatapatapa sijui mtaishije wakati yeye anajiendea kwao koromitdje kupumzika
 
Jiwe amegota bora arudi kijijini akamuuguze mama yake.....Damu za watanzania aliowapoteza zimeanza kumlilia Jiwe....amezoea kuhonga teuzi!

Mh. Lissu kamgusa mzee baba pabaya. Jiwe anafikiria kuwa kuwahonga wapinzani wake vyeo itamsadia kitu?. ushamba mtupu!
 
Sawa acha niendelee kuimba mapambio yangu, Ni afadhali hivi kuliko kubwekabweka huku Kama mbwa koko.Kila mmoja ana njia yake ya kupambana na maisha, Baki na yako na me nibaki na yangu.🚶
 
Lissu anajua kucheza na jukwaa kama Haruna Fadhili akizimana Niyonzima.
 
Utakuwa unajifurahisha wewe.

Kamwulize Joni ati anampenda Lissu.

Hayo mapenzi yameanza lini? Kabla au baada ya risasi?

Ndiye Joni huyo unayemwongelea hapo.
Ilikuwa ni faulu kusema vile. Mfano unamwambia mgonjwa unampenda wakati anaugulia mamivu, hana hela ya matibabu tena unasema akikuamkia basi utampa juisi.

Sent from my Nokia 6.1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…