Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Huyu Mkuu angekaa tu kimya maana kuendeleza Vijembe na huyo Mwanasheria Ni kuibua Mengine ambayo yalisahaulika.Maana alivyojibiwa hadi nimeona huruma.
 
Kama mlalamikaji L kauchuna yasifatiliwe polisi wana haja gani kuifatilia tamthilia ya yake. We huoni kama TL kauchuna movie yake isibumburuke.




MAGUFULI4LIFE.
Bilionea Msuya aliawawa, watano wakahukumiwa. Sasa mlalamikaji aliwezaje kufungua kesi akiwa ni marehemu?
 
Uteuzi na utenguzi wa kijinga wa Magufuli umehamasisha wajinga wengi kujitokeza kuhalalisha ujinga wa mamlaka.
1. Key person wa kupigwa risasi Tundu Lissu ni yeye mwenye na bahati nzuri yu hai na sasa hivi yupo hata Polisi amefika kudai gari lake. Dreva wake ni shaidi tu muhimu ambaye kutokuwepo kwake hakuwezi kutatiza Polisi mahili kufanya uchunguzi wao.
2. Serikali inayoongoza nchi kwa kufuata Utawala wa Sheria hugharimia matibabu ya wafanyakazi wake wote ambao sharti la kutibiwa bure ni moja ya masharti ya ajira zao akiugua au kuumia akiwa kazini. Mfanyakazi mtoro hujulikana na kuchukuliwa hatua baada ya kuhojiwa na kujitetea kusikoridhisha.
3. Serikali zote kabla ya hii ya Awamu ya Tano zilifuata Sheria ya Usalama Kazini iliyomwekea Mwajiri taratibu za kumfukuza kazi mfanyakazi ilibidi, taratibu ambazo Ndugai hakuzifuata na Magufuli kuafiki hatua iliyochukuliwa.
4. Wafuatiliaji wa Mkutano ule kwenye TV tulichukizwa sana na kitendo cha TBC kutoonyeshe tulichotegemea kuona na kusikia wao walitaka tuone na kusikia waliyotaka waliowatuma. CHADEMA walifanya vizuri kuwafurusha vinginevyo sisi tungewafurusha CHADEMA.
Nakutakia uteuzi kabla ya Uchaguzi!
 
1- Uchunguzi huujui
2- Taratibu za matibabu huzijui
3- Ubunge siyo ajira
4- Unapoanza kuminya vyombo vya habari wakati unatafuta uongozi maana yake ni kwamba hutufai kutuongoza

Mimi nina ajira isiyohitaji uteuzi maana kwa akili zenu huwa mnadhani kwamba hiyo hoja huwa ni ya msingi kumbe zilipendwa
 
Waiompiga Lissu risasi 16, yeye Lissu anawajua na kuwafahamu pamoja na dereva wake ndio maana hawataki kabisa kumsalimisha. Hivi huko kuchanganyikiwa hakujamuisha huyo dereva.
 
Waiompiga Lissu risasi 16, yeye Lissu anawajua na kuwafahamu pamoja na dereva wake ndio maana hawataki kabisa kumsalimisha. Hivi huko kuchanganyikiwa hakujamuisha huyo dereva.
mtu alifiwa na mume wake au ndgu yake kusahau inahtaji kichwa kigumu sio kila mtu anasahau jambo haraka
 
Nguvu ya umma iko hapa jf labda, Tanzania haijafikia huko mnakoota nyie.Acheni kubwekea huku.
Najua huijui nguvu ya teknolojia kwani bado upo Zama za mawe za kale! Hapa ndio njia sahihi, ya uhakika na yenye Kasi katika kupata na kutumia taarifa! Wewe endelea kuudharau majukwaa ya kijamii!
 
Najua huijui nguvu ya teknolojia kwani bado upo Zama za mawe za kale! Hapa ndio njia sahihi, ya uhakika na yenye Kasi katika kupata na kutumia taarifa! Wewe endelea kuudharau majukwaa ya kijamii!
Katika majukwaa yote ya kijamii ninayopita, kwa asilimia kubwa wabwekaji wa chadema wapo hapa jf.Kwakua chadema Haina hata wanachama 3 million, na hata Kama inao Basi sio wote wako chadema,Amini nakwambia hakuna chochote Cha kuogopwa.Endelea kubweka wewe unaejiona mjanja πŸ˜‚πŸ˜‚, Ila kaa ukijua, Chadema haitaingia ikulu, leo mpaka Kiama.Labda Kama huko mbeleni kitakuja Chama kingine.🚢🚢
 
hapo ndo utam ulipo sasa. ikifikia hapo hiyo game policcm wakae pembeni kichapo kitembee watu waheshimiane.
ccm wanapenda sana kusikia upinzani ukisema "tumemwachia Mungu". mwaka huu hamna hiyo. na hapo ukumbuke ze hegi wapo macho wanafuatilia tu mchezo tratiiiiibu
 
hapo ndo utam ulipo sasa. ikifikia hapo hiyo game policcm wakae pembeni kichapo kitembee watu waheshimiane.
ccm wanapenda sana kusikia upinzani ukisema "tumemwachia Mungu". mwaka huu hamna hiyo. na hapo ze hegi wapo macho wanafuatilia tu mchezo tratiiiiibu
 
Huna mamlaka hayo Bali mtazamo finyu! Itoshe tu kukuambia kuwa ikulu Haina mwenye kuimiliki kwa maana ya chama chochote kinaweza kuitumia Kama wananchi wakiamua! Na ccm Haina hati miliki ya kukaa ikulu daima dawamu! Usijidanganye na speculation zako ambazo huna uhakika nazo!
 
Nyie endeleeni kujifariji πŸ˜‚πŸ˜‚ eti the hegi, hii ngoma itaisha kimyakimya Kama kawaida yake.
 
Mnafiki kweli kweli bwana huyu:

1. Uchunguzi kuwabaini wauwaji uko wapi?
2. Matibabu kamnyima
3. Ubunge wamemfukuza
4. Vyombo vya habari anamnyima

Hayo mapenzi yameanza lini?

Mshamba sana huyu bwana.
Bwana Yule anaweza kukata pumzi wakati akiwa jukwaani mara tu atakapokumbuka unyama anaotendea wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…