Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Yeye amependwa sasa hivi aachane na yaliyokwishapita.
 
Duhh kwaiyo Lissu anasera? Yaani hizo zakupigwa risasi nazo ni sera? Nyumbu!
 
Kampeni zimefika patamu .
 
Hilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
Na akileta vurugu tuna mng'oa kwa nguvu
 
Jiwe ana maswali makubwa ya kujibu. sulubu inamsubiri!

sky nisaidie ukitaka ku-quote sentensi mbali mbali then zote ukazijibu kwa pamoja unafanyaje?
Quote wote unaotaka kuwaunganisha kwenye message yako.
 
Kama angeacha wapinzani waongee na magazeti na TV ziwe huru, wapinzani wasingekuwa na ya kuongea sasa hivi. Kinyume chake sasa hivi Magu hana jipya, watu wamewamiss wapinzani
Who cares?
 
Mkuu hivi Mv Bukoba ilikuwa meli au mtumbwi? Sorry nimesahau
 
Na akileta vurugu tuna mng'oa kwa nguvu
Nafasi pekee ni October akipona October atoki milele,mwakani kikokotoo cha kumnyonya mtumishi kinaanza tumika,
Pia kuna hati hati ya wafanyakazi kukosa mishahara ashindwi kusema anaetaka kufanya kazi afanye asiyetaka afungashe serikali haina pesa tumetoka kwenye kampeni hadi hali itakapokuwa nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…