K
Kura yako ndio mdudu gani.......acha kuchafua CV ya mh maguAkiwataja hao watu.kisha wakakamatwa nampa.kura yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kura yako ndio mdudu gani.......acha kuchafua CV ya mh maguAkiwataja hao watu.kisha wakakamatwa nampa.kura yangu
Sababu mataaga uwezo wenu wa kuelewa ni mdogoHata sijamwelewa Lissu
We waache wajichanganye tu.Wanadhani wapo peke yao hao tanapa
Utakufa bila kuigusa.Hili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Mnafiki siku zote hawezi kuacha unafiki mbele za watu. Sasa hivi anajiingiza mwenyewe kwenye eneo la 18.Na kama anampenda ni kwanini alimnyima matibabu na kumvua ubunge akiwa mgonjwa?
Asipolijibu utapiga chooni kama kawaida yako!Mimi akilijibu vizuri nitapiga punyeto Kariakoo mchana kweupe
Naona Kitila umeuchoka ukatibu mkuuImagine wanakutana kwenye mjadala hawaView attachment 1555660
Jiwe ana maswali makubwa ya kujibu. sulubu inamsubiri!Na kama anampenda ni kwanini alimnyima matibabu na kumvua ubunge akiwa mgonjwa?
Duhh kwaiyo Lissu anasera? Yaani hizo zakupigwa risasi nazo ni sera? Nyumbu!Tatizo la mgombea wa CCM hana sera wala hoja nzito za kuweza kuwavutia wananchi, siku zote yeye huongea mambo rahisi rahisi tu ambayo yanaonekana ni yenye tija kwa watu wenye akili duni na upofu wa kufikiria. Viongozi makini duniani huwa hazungumzii vitu vyepesi ktk nyakati za kampeni za uraisi, bali hushusha nondo zilizojaa madini tupu.
Haya ndiyo mapungufu ya kiongozi wa nchi kukwepa kuongea ama kushauriana na viongozi wengine mashuhuri hapa duniani kwa kificho cha kubana matumizi. Kwa kuwa anajikuta hawezi kuongelea mambo muhimu yenye kugusa maslahi mapana ya Watanzania wenye fikra pana.
Kampeni zimefika patamu .“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu.
"Kwakuwa amesema ananipenda aseme ni nani aliyemkusudia auawe katika hotuba yake aliyoitoa wakati akipokea ripoti ya madini na kusema kuwa anamsumbua sumbua katika agenda yake ya madini na kwamba bora msaliti auwawe"-; Mhe. @TunduALissu
t.co / Twitter
Huo ndio uzuri wa Lissuukiweka ugoko naweka chuma
Na akileta vurugu tuna mng'oa kwa nguvuHilo swali la Lissu ni gumu sana, haliwezi kujibiwa kamwe, ndio maana siku hizi jamaa yetu anaonekana mpole sana, anajua wakati huu wa kampeni mengi sana yatasemwa, hasa yale asiyopenda kuyasikia, namshauri awe mvumilivu sana.
Umeona Eh!Kampeni zimefika patamu .
Quote wote unaotaka kuwaunganisha kwenye message yako.Jiwe ana maswali makubwa ya kujibu. sulubu inamsubiri!
sky nisaidie ukitaka ku-quote sentensi mbali mbali then zote ukazijibu kwa pamoja unafanyaje?
Who cares?Kama angeacha wapinzani waongee na magazeti na TV ziwe huru, wapinzani wasingekuwa na ya kuongea sasa hivi. Kinyume chake sasa hivi Magu hana jipya, watu wamewamiss wapinzani
Mkuu hivi Mv Bukoba ilikuwa meli au mtumbwi? Sorry nimesahauMambo ya muhimu siku zote hutofautiana na upeo wa msikilizaji binafsi. Kwa mtu ambaye tangu azaliwe hajawahi kuwa na maji karibu na nyumba aliyozaliwa siku akipata uhakika wa maji safi kwake hilo ni jambo la muhimu sana.
Muuzaji samaki wa Ukerewe aliyezoea kupoteza ndugu zake ziwani kwa sababu ya mitumbwi siku akianza kupanda meli kwake hilo ni suala muhimu sana.
Vitu vyepesi kwa mtu mmoja lakini kwa mwingine ni vitu muhimu sana.
Nafasi pekee ni October akipona October atoki milele,mwakani kikokotoo cha kumnyonya mtumishi kinaanza tumika,Na akileta vurugu tuna mng'oa kwa nguvu