Uchaguzi 2020 Tundu Lissu amjibu Magufuli: Kama kweli anampenda aseme wakina nani walimpiga risasi, na kwanini alimnyima pesa ya matibabu

Ni vizuri lakini kwamba kumbe wanafauatilia mikutano ya Magufuli.
 
Majibu yake hayo maswali, MATAGA wote hawawezi kuyajibu kamwe! Na jiwe hata mshobokea tena lisu, kwani nondo hizo!!!
Lisu atatekenywa sana na kila akitekenywa atakuwa anakimbilia kwenye risasi ambazo tumeshazisikia toka miaka 3 iliyopita.

Kiufupi tundu hana jipya
 

Na tunapoelekea anaweza gombana na vyombo hivi, mwishoe nao watachoka kuona wanakimbizwa kifalaa.
 
Magufuli mbona anaonyesha kukata tamaa, usikate tamaa jembe sisi mipini tupo nyuma yako, kwa uliyoyafanya inatosha kusema ahsante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…