Si Bora mi pua .........wewe imetanuka Ile nukta yako ya kukaliaMataga umepanic balaa hadi pua zimekutanuka 🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si Bora mi pua .........wewe imetanuka Ile nukta yako ya kukaliaMataga umepanic balaa hadi pua zimekutanuka 🤣🤣🤣
Subiri ushindi wa kishindo ndio utajua hii umepagawa huwa inatoka saa ngapiVipi mbona umepagawa sana.??
Eeeee mwana kuli faindi...ndo huku!!amemfungia kazi! Hadharani! salaaaaaaaaaaaaale!
Lisu atatekenywa sana na kila akitekenywa atakuwa anakimbilia kwenye risasi ambazo tumeshazisikia toka miaka 3 iliyopita.Majibu yake hayo maswali, MATAGA wote hawawezi kuyajibu kamwe! Na jiwe hata mshobokea tena lisu, kwani nondo hizo!!!
Haya bana sisi ,tunawasubiri hiyo siku mtakayoingia road.Narudia tena,tutadeal na kila kima atakaejipendekeza.Wewe nakupiga dokoo moja tu unatapika ulimi mrefu kama mokasi ya dr. Bashiru.
Hope zitakuwa Kama mabasi ya mkoa 🤣🤣🤣🤣Ilikuwa meli na ikazama kwa sababu ilizidiwa na wingi wa abiria. Leo zimejengwa meli nyingi ili abiria wawe na chaguo.
Mimi akijibu bila kuacha shaka yoyote nitampigia kura tarehe 28 OctoberHili swali JPM akilijibu kwa ufasaha mimi nachukua kadi ya CCM kwa mara ya kwanza tangu nizaliwe!!
Andika wosia kabisa.Haya bana sisi ,tunawasubiri hiyo siku mtakayoingia road.Narudia tena,tutadeal na kila kima atakaejipendekeza.
Wosia Uandike wewe, sisi tuna uhakika wa kuendelea kubaki madarakani na Dola yetu.😂Andika wosia kabisa.
Cha muhimu abiria wawe na uhuru wa kuchagua.Hope zitakuwa Kama mabasi ya mkoa 🤣🤣🤣🤣
Magu ameshapaniki na Sasa dalili zinaonyesha ataviamrisha vyombo vya usalama kuchezea uchaguzi.
Na hapo ndio mtego wa Lissu ulipo
Yaani mwaka huu uchaguzi uwe huru Lissu mapema anachukua uchaguzi uchezewe watu waingie barabarani Jiwe akimbie Ikulu
Patamu Sana mwaka huu.
Nyie mangwini tuondoleni huu ujinga, Urais si school debate club. Semeni mjadala uwe wa hesabu za Calculus tuone.
Hope Ile spices island nayo ilikuwa moja tu kile bara Hindi?Cha muhimu abiria wawe na uhuru wa kuchagua.