Uzuri Ni kwamba, hatujawahi kusubiri mambo yafike huko 😂, kazi yetu Ni kuchambua kimykmy kima mmojammoja anaejipendekeza.CCM itatoka Ila sio kwa huu upuuzi wenu wa kitotoNdo tukutane Sasa barabarani, kwani unafikiri Gadaffi, Al Bashiru, Blaise Compaoure na Idi Amin hawakuwa na watu wa kuingia barabarani kuwapambania? Mwisho wa siku Upande wa Haki hushinda, hakuna Jeshi duniani wala bunduki iliyowahi kushinda Nguvu ya Umma Mzee tulia
JPM yuko vizuri kulingana na wananchi anaotawala. Hii ni kwa asilimia kubwa.Tatizo la mgombea wa CCM hana sera wala hoja nzito za kuweza kuwavutia wananchi, siku zote yeye huongea mambo rahisi rahisi tu ambayo yanaonekana ni yenye tija kwa watu wenye akili duni na upofu wa kufikiria. Viongozi makini duniani huwa hazungumzii vitu vyepesi ktk nyakati za kampeni za uraisi, bali hushusha nondo zilizojaa madini tupu.
Haya ndiyo mapungufu ya kiongozi wa nchi kukwepa kuongea ama kushauriana na viongozi wengine mashuhuri hapa duniani kwa kificho cha kubana matumizi. Kwa kuwa anajikuta hawezi kuongelea mambo muhimu yenye kugusa maslahi mapana ya Watanzania wenye fikra pana.
Kwahiyo Lisu kumbe ndio alikuwa msaliti?
Huyu jamaa amekoesea kuishi zama hizi.Amekosea kuwa mtanzania.Akili yake ni kubwa snLissu atabak kuwa Lissu
Anhaa, kumbe wauaji wakubwa nyie, nilitaka ufike mahali ukiriUzuri Ni kwamba, hatujawahi kusubiri mambo yafike huko 😂, kazi yetu Ni kuchambua kimykmy kima mmojammoja anaejipendekeza.CCM itatoka Ila sio kwa huu upuuzi wenu wa kitoto
Taratibu za fedha za serekali. Kulipwa ni taratibu aukufutwa. Nani aliyekuwa Rufaa. Je? Kiongozi wako aliandika barua kueipoti kutumia kwake? Kosa ni la Mh Mbowe“Kwakuwa amesema ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, Singida aseme ni akina nani walionipiga risasi 16,
Kwakuwa ananipenda aseme ni kwanini alininyima pesa za matibabu baada ya kupigwa risasi.." Mhe. @TunduALissu...
Swali gumu sana hadi kiama hilo mccm yeyeto kulijibuTUNDU LISSU AMJIBU #MAGUFULI
“Wanaopewa vikazi vidogo vidogo ni wale wanaookotwa majalalani"
✓Kwakuwa ananipenda kama alivyodai akiwa Ikungi, aseme ni akina nani walionipiga risasi 16...
Hapa amekosekana Christopher Mtikila tu hakika tusingeumizwa na utawala huu udhalimu fedhuliHuyu jamaa amekoesea kuishi zama hizi.Amekosea kuwa mtanzania.Akili yake ni kubwa sn
Na akitaka kujbu hapa atasema wamlete derevaNa kama anampenda ni kwanini alimnyima matibabu na kumvua ubunge akiwa mgonjwa?
HahahahahahaMimi akilijibu vizuri nitapiga punyeto Kariakoo mchana kweupe
Ukimjeruhi mbogo usitegemee amaniLissu nae asitake kufanya tukio lake la kupigwa risasi za plastics kuwa la kitaifa. Risasi ndo imekuwa risasi kwani yeye ndo Mtu wa kwanza dunian kula shaba.
Wapo kina jf Kennedy na kina linkolin walikula za Moto kweli Achana na maigizo haya ya mkenya lakini mbona siyo mijadala ya taifa la USA japo walipigwa risasi wakiwa madarakani..
Nilitegemea Tundu Lissu kumpuuza Magufuli kwa kile alichomusemea Ila kitu uvumilivu kwa TL ndo hakuna kabisa.
Lisu ni mtanzania lakini ana damu za watu wa Kenya baada ya kwake kumwaga kwenye matibabuHuyu jamaa amekoesea kuishi zama hizi.Amekosea kuwa mtanzania.Akili yake ni kubwa sn
JF Kennedy alipigwa risasi ngapi hadi ulinganishe na risasi 16 za Tundu na ni huyo anadunda.Lissu nae asitake kufanya tukio lake la kupigwa risasi za plastics kuwa la kitaifa. Risasi ndo imekuwa risasi kwani yeye ndo Mtu wa kwanza dunian kula shaba.
Wapo kina jf Kennedy na kina linkolin walikula za Moto kweli Achana na maigizo haya ya mkenya lakini mbona siyo mijadala ya taifa la USA japo walipigwa risasi wakiwa madarakani..
Nilitegemea Tundu Lissu kumpuuza Magufuli kwa kile alichomusemea Ila kitu uvumilivu kwa TL ndo hakuna kabisa.