Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Uzuri Ni kwamba, hatujawahi kusubiri mambo yafike huko 😂, kazi yetu Ni kuchambua kimykmy kima mmojammoja anaejipendekeza.CCM itatoka Ila sio kwa huu upuuzi wenu wa kitotoNdo tukutane Sasa barabarani, kwani unafikiri Gadaffi, Al Bashiru, Blaise Compaoure na Idi Amin hawakuwa na watu wa kuingia barabarani kuwapambania? Mwisho wa siku Upande wa Haki hushinda, hakuna Jeshi duniani wala bunduki iliyowahi kushinda Nguvu ya Umma Mzee tulia