Bongo bwana wanakufungulia kesi nzito kama ya uhaini alafu wanakupa na wakili wao akusaidie kukutetea kwamba wanakupenda sana ?
Heti serikali iimempa kesi ya mchongo lissu alafu wanampa na wakili amsaidie kujitetea hivi hii ni ya wapi wakuu au mimi ndio sielewi ?
..Sheria zetu zinaelekeza hivyo.