GE2025 Tundu Lissu amkataa Pro Bono aliyepatiwa na Mahakama Kuu, aamua kuendelea kujitetea mwenyewe

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

..Sheria zetu zinaelekeza hivyo.
 

Hapo sasa. Mbona Mbowe gawakumpa wakili....!!?

Samia. Mungu anakuona.
 
Wamemleta delila kwa lissu eti ndo awe mtetezi wake....!
Kama mimi ndo ningekuwa lissu jana ningemchapa kwanza kibao huyo dada. Potelea pote
 
Huyo wakili alikua anaenda kushinda kesi mapema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…