Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
😁😁 huu wa Mama Samia ulikuwa ni kiboko😁Jambo la kufurahisha, kwenye Uchaguzi huo hakuna mgombea aliyepata %99
Wala hakuna mkwe wa mtu anayeongoza kukata majina ya Wagombea wa UpinzanuHuko hakuna wizi wa kura.
NaaamNimecheka sana, hakuna aliyepata 99%.
Ni Africa tu ambapo wananchi wanaonekana wana mahaba na viongozi wao.
Hakuna Mahaba yoyote bali ni wizi tu wa kura.Nimecheka sana, hakuna aliyepata 99%.
Ni Africa tu ambapo wananchi wanaonekana wana mahaba na viongozi wao.
CCM tulimpa pesa za gari yake alikenua hadi jino la mwisho kufurahi na kushukuruMama kama anafikira Lissu ni Mbowe imekula kwake. Jamaa hataki rushwa, kipanga, anapendwa Tanzania na kuheshimika nje ya nchi. Huyu jamaa huwezi kuwekewa pesa za dili kama jamaa zetu wenye makampuni fake uarabuni ya kuwekewa pesa.