Pre GE2025 Tundu Lissu ampongeza Friedrich Merz kwa Ushindi Ujerumani

Pre GE2025 Tundu Lissu ampongeza Friedrich Merz kwa Ushindi Ujerumani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa yake hii hapa

Screenshot_2025-02-26-21-23-57-1.png
Screenshot_2025-02-26-21-15-23-1.png
Screenshot_2025-02-26-21-15-13-1.png
Screenshot_2025-02-26-21-15-01-1-1.png

Jambo la kufurahisha, kwenye Uchaguzi huo ni kwamba, hakuna mgombea aliyepata %99 kama inavyopata ccm ya Tanzania, wala hakukuwa na Mgombea aliyekatwa kama wanavyokatwa Wagombea wa Chadema huko Tanzania.

Mungu Wabariki Wazungu
 
Mama kama anafikira Lissu ni Mbowe imekula kwake. Jamaa hataki rushwa, kipanga, anapendwa Tanzania na kuheshimika nje ya nchi. Huyu jamaa huwezi kuwekewa pesa za dili kama jamaa zetu wenye makampuni fake uarabuni ya kuwekewa pesa.
 
CCM tulimpa pesa za gari yake alikenua hadi jino la mwisho kufurahi na kushukuru

Akipewa yeye na CCM sawa wakipewa wengine anasema wanahongwa hela za Abdul na mams yake

Lisu kichwa chake hakiko sawa ni mbinafsi hasa

Kwa hiyo hizo pesa alizochangiwa na CCM yeye hajalamba asali ya CCM?

Anadhalilisha wengine wakati ns yeye kalamba
 
Back
Top Bottom