Ndugu umejilipua hasa kuandika uzi kama huu hapa JF wakati 99.9% ni wafuasi wa Chadema na wapenzi wa Lissu Lia lia. Ingawa kuna Ukweli katika andiko lakoNimewahoji watu zaidi ya mia moja ,ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CDM na hata wasiokuwa na vyama ,kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake.
Wengine walifika kusema Lisu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila kitu wazi, mmoja alijibu hana ujuzi katika kazi ya uhakimu lakini anaweza kumtia hatiani Mh.Lisu maana mahakimu huwaga hawaungu sana wakipata ulaini.
Nahisi kwa upande wangu ,inawezekana Lisu anapuliza au ni laana imempata kwani amekuwa akimtupia maneno Raisi Samiya yasiyo na heshima akitumia lugha ambayo ikiwashitua wengi hata wenzake, na wengie wakimueleza kuwa atumie busara na mamneno ya kistaalabu kuliko kuonekana anazungumza kama aliepoteza akili ,akisahau wema wa Samiya.
Mazungumzo baada ya habari hii kesi ni nzito sana sana,itokee tu wamchulie Lisu ni mgonjwa wa akili hapo anaweza kuachiliwa na pengine azuiwe kushiriki mambo ya siasa kwa muda wa miaka kumi na tano, ila mara hii hatoki.
Na kwa vile nchi nyingi za Africa zimeanza kuelekea muelekeo wa Kitaore ,hawatasikiliza tena maneno kutoka uzunguni.
Yale ya kuna jumuia hii na ile inasema hivi na vyile kwa sasa wacheni kuweka muega huko.
Baba wa Taifa aliwahi kutoa hii tahadhari...Ndugu umejilipua hasa kuandika uzi kama huu hapa JF wakati 99.9% ni wafuasi wa Chadema na wapenzi wa Lissu Lia lia. Ingawa kuna Ukweli katika andiko lako
Tukiukataa ukwelu hatumsaidii ,ndio tutazidi kumuangamiza ,ni lazima jamii na wafuasi wauukubali ukweli kuwa aliyotamka hayaitakii mema Tanzania ,kwa alivyotamka Lisu haikupaswa ,tuseme ana mipango basi angejitokeza baada ya mipango ndio tunavyosikia huko majuu , Ni lazima CHADEMA wakubali ,kutafuta kumtetea ni kumuangamiza mwenzao na ndio ukaona kuna CDM wapo kimya wanatafuta nyia za kuwatongoza CCM ili mwenzao atoke.
Huna kazi ya kufanya.Uliwahoji watu zaidi ya mia kama nani sasa?Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CDM na hata wasiokuwa na vyama ,kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake.
Wengine walifika kusema Lisu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila kitu wazi, mmoja alijibu hana ujuzi katika kazi ya uhakimu lakini anaweza kumtia hatiani Mh.Lisu maana mahakimu huwaga hawaungu sana wakipata ulaini.
Nahisi kwa upande wangu ,inawezekana Lisu anapuliza au ni laana imempata kwani amekuwa akimtupia maneno Raisi Samiya yasiyo na heshima akitumia lugha ambayo ikiwashitua wengi hata wenzake, na wengie wakimueleza kuwa atumie busara na mamneno ya kistaalabu kuliko kuonekana anazungumza kama aliepoteza akili ,akisahau wema wa Samiya.
Mazungumzo baada ya habari hii kesi ni nzito sana sana,itokee tu wamchulie Lisu ni mgonjwa wa akili hapo anaweza kuachiliwa na pengine azuiwe kushiriki mambo ya siasa kwa muda wa miaka kumi na tano, ila mara hii hatoki.
Na kwa vile nchi nyingi za Africa zimeanza kuelekea muelekeo wa Kitaore ,hawatasikiliza tena maneno kutoka uzunguni.
Yale ya kuna jumuia hii na ile inasema hivi na vyile kwa sasa wacheni kuweka muega huko.
Kwa mtazamo na matamanio ya Lumumba Buku7 (LB7000), definitely kila CCM jinga kama wewe aliliona kosa la hicho kinachoitwa "uhaini" ktk maneno ya mwamba TL...Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CDM na hata wasiokuwa na vyama ,kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake.
Wengine walifika kusema Lisu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila kitu wazi, mmoja alijibu hana ujuzi katika kazi ya uhakimu lakini anaweza kumtia hatiani Mh.Lisu maana mahakimu huwaga hawaungu sana wakipata ulaini.
Nahisi kwa upande wangu ,inawezekana Lisu anapuliza au ni laana imempata kwani amekuwa akimtupia maneno Raisi Samiya yasiyo na heshima akitumia lugha ambayo ikiwashitua wengi hata wenzake, na wengie wakimueleza kuwa atumie busara na mamneno ya kistaalabu kuliko kuonekana anazungumza kama aliepoteza akili ,akisahau wema wa Samiya.
Mazungumzo baada ya habari hii kesi ni nzito sana sana,itokee tu wamchulie Lisu ni mgonjwa wa akili hapo anaweza kuachiliwa na pengine azuiwe kushiriki mambo ya siasa kwa muda wa miaka kumi na tano, ila mara hii hatoki.
Na kwa vile nchi nyingi za Africa zimeanza kuelekea muelekeo wa Kitaore ,hawatasikiliza tena maneno kutoka uzunguni.
Yale ya kuna jumuia hii na ile inasema hivi na vyile kwa sasa wacheni kuweka muega huko.
Nadhani hata Wewe hujui tofauti ya Uasi na Uhaini, Ngoja waje wanasheria.Nimewahoji watu zaidi ya mia moja, ambao ni kutoka vyama mbali mbali wakiwemo CDM na hata wasiokuwa na vyama ,kwa kweli wengi waliomsikiliza wamesema waliliona kosa la uhaini mwanzo tu ndani ya hotuba yake.
Wengine walifika kusema Lisu hakumungunya maneno wala kupiga mafumbo ,aliweka kila kitu wazi, mmoja alijibu hana ujuzi katika kazi ya uhakimu lakini anaweza kumtia hatiani Mh.Lisu maana mahakimu huwaga hawaungu sana wakipata ulaini.
Nahisi kwa upande wangu ,inawezekana Lisu anapuliza au ni laana imempata kwani amekuwa akimtupia maneno Raisi Samiya yasiyo na heshima akitumia lugha ambayo ikiwashitua wengi hata wenzake, na wengie wakimueleza kuwa atumie busara na mamneno ya kistaalabu kuliko kuonekana anazungumza kama aliepoteza akili ,akisahau wema wa Samiya.
Mazungumzo baada ya habari hii kesi ni nzito sana sana,itokee tu wamchulie Lisu ni mgonjwa wa akili hapo anaweza kuachiliwa na pengine azuiwe kushiriki mambo ya siasa kwa muda wa miaka kumi na tano, ila mara hii hatoki.
Na kwa vile nchi nyingi za Africa zimeanza kuelekea muelekeo wa Kitaore ,hawatasikiliza tena maneno kutoka uzunguni.
Yale ya kuna jumuia hii na ile inasema hivi na vyile kwa sasa wacheni kuweka muega huko.
Wagonjwa wa Akili mpo wengi!Tukiukataa ukwelu hatumsaidii ,ndio tutazidi kumuangamiza ,ni lazima jamii na wafuasi wauukubali ukweli kuwa aliyotamka hayaitakii mema Tanzania ,kwa alivyotamka Lisu haikupaswa ,tuseme ana mipango basi angejitokeza baada ya mipango ndio tunavyosikia huko majuu , Ni lazima CHADEMA wakubali ,kutafuta kumtetea ni kumuangamiza mwenzao na ndio ukaona kuna CDM wapo kimya wanatafuta nyia za kuwatongoza CCM ili mwenzao atoke.
Hana kesi ya uhaini. Uhaini haujengwi Kwa maneno Bali matendo ya kutaka kuutoa uongozi madarakani.Waache wanasheria wa mtandaoni waseme hajavunja sheria
Huyo ndiye muongoza soga vijiweni mwao.Wagonjwa wa Akili mpo wengi!
Sawa mwanasheria wa youtubeHana kesi ya uhaini. Uhaini haujengwi Kwa maneno Bali matendo ya kutaka kuutoa uongozi madarakani.
Tanzania siyo nchi ya kifalme!
Kweli,anajitoa ufahamu!Huyo ndiye muongoza soga vijiweni mwao.