PreGE2025 Tundu Lissu ana kesi ya kujibu. Kila aliyemsikiliza analiona kosa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uvccm hawajakufundisha kuandika??
 
Ni mahakama pekee yenye uwezo wa kumtia mtu hatiani, siyo unawahoji chawa halafu unatuletea uharo wao hapa. Majizi ya kura ndiyo yanafanya uhaini kwani wanapindua matokeo ya kura halali na kutangaza watu walioshindwa kuwa wameshinda.
 
Elimu yako tafadhali?
 
Ndugu umejilipua hasa kuandika uzi kama huu hapa JF wakati 99.9% ni wafuasi wa Chadema na wapenzi wa Lissu Lia lia. Ingawa kuna Ukweli katika andiko lako

Tumuunge mkono lisu na tumshauri maana yeye sio malaika anaweza kukosea.ila tusimdanganye na kumpa sifa ambazo hazipo,ila anatakiwa kuzifanyia kazi ili kuzifikia.

Kwenye uchaguzi wa ndani Lisu alipata kura 513 (51.%), dhidi ya Freeman Aikaeli Mbowe aliyepata kura 482 (48.%).
Na hiki ndio kipimo cha namna lisu anavyoungwa mkono ndani ya chama.
je,Wewe hiyo 99% umeitoa wapi au ndio uchawa?
 
Elimu yako tafadhali?
 
Asante sana kwa kukumbushia...Ubarikiwe
 
Umehoji jamii hihii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Jamii ya kanyanga twende jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi

Uchaguzi ambao watu lazima wafe ama kuumizwa ama kwa Hila tofauti tofauti
 
Kila mtu kina nani?

Wanasheria wa ndani na nje ya nchi wamekosoa hayo makosa yenu kusema hayana mantiki sasa nani anayewakilisha kila mtu?

CCM kweli mmejaa wapumbavu.

Kama Sheria ingekuwa rahisi hivyo basi watu wasingesoma Sheria. Ndo mana Sheria ni moja ya masomo magumu. Wakati wewe ngumbaru unaona kosa kwenye matamshi wenzako wanasoma Sheria husika na Sheria zingine wanalinganisha na maneno husika wanasema hakuna kosa.
 
Hii nchi ina watu wajinga wengi sana. Kila nchi ina watu aina yako
 
Sahihisho > Sema kila mpumbavu aliyemsikiliza amemuona ana hatia na siyo kila aliyemsikiliza amemuona ana hatia, sawa sawa?
 
Tukikuwahi utapona...
 


Unaamini kuna kichaa mwendawazimu mwingine kama wewe anayeweza kuona kuna content in this crap?

No one in our forum is of idiocy of your level. Stay in your brain crippledness, for you worth nothing in this globe.
 
Lissu anatakiwa KUNYONGWA HADI KUFA kwa makosa alivyofanya!
 
Mbona Makala yupo huru, ukielewa hili; kesi kwisha hakuna kesi hasa ukizingatia hoja hiyo aliitoa kwenye jukwaa la siasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…