Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaenda kuimaliza CHADEMA

Ujinga wenu na ccm unaonekana wazi wazi najua mnachumia matumboni kutoka ccm bila kujali mustakabali wa nchi unakuaje, haya tusubiri matumbo yenu pengine siku moja yatapasuka.
 

Hivi unawaona watanzania bado wajinga kiasi kile?
Uchambuzi wa kishabiki, kimhemuko na hauna credibility hata kidogo.

Kwa bahati mbaya, Magufuli siyo maarufu kama unavyodhani kwa sehemu kubwa ya population ya nchi.

Hilo hata usalama wanajua na wamwemambia. Mnao sensetionalize umaarufu wake ni nyie wachumia tumbo msio na haya wala huruma kwa mustakabali wa nchi hii.
 
Tulia acha kupaniki, Mbona hata jukwaani hajapanda ndo kwanza anapasha misuli moto
 
Lissu yuaja.
Hofu yenu ndio yakufanya uweweseke.
 
Magu ni moja ya laana kubwa tumepata nchi hii! Wengi wanaomba hata angepotea leo!
 

Mpangieni cha kusema (mwandikieni hotuba mnayotaka ili aisome hiyo tu kila anapoenda) Napo mtamwelewa tu.
 
Kama ni hivyo basi wali waliounga Juhudi wote wangeshinda kura za maoni.
 
sheiza,

Huu ndio ukweli, dogo Lissu hana ushawishi zaidi yakupoteza kura tarajiwa. Ila natamani sana kumuona kwenye kampeni ili ajue watanzania niwaelewa kuliko alivyodhani. Ni bahati mbaya tu kuwa atafikia Segerea.
Mwatia huruma mna njozi mfu kama za Lijualikali vile.
 
Unataka kutuambia una akili kuliko Tundu Lissu!

Tundu lisu ni boya tu, kwa sasa hawezi kujiamini tena kama yeye mwenyewe.
Andhani kumshambulia magufuli ndo atapata wafuasi lakini atajichimbia.
 


Unawazungumzia hawa wananchi ambao wanakula mlo mmoja kwa siku wa ugali na matembele tena kwa kubahatisha?

Mimi siku hizi ndugu na jamaa wakinipigia simu kutaka msaada nawachana live nyinyi si mnamshàbikia Magufuli,endeleeni kumchagua huku mjini watu hatuna pesa kwa Sera mbaya za uchumi za Magufuli, bahati mzuri wrote wananielewa na kusema hawatamchagua mwaka huu.
 
sawa kabisa hana uwezo wa kutubadilisha tua he kumpenda rais wetu wa wanyonge
 
Lissu hawezi kuongea ukweli ata mara moja mtu aleyeathirika kisaikolojia anaanzaje kuongea ukweli too much emotional like lily bih
Nyie watu mbona mnaanza kumshambulia Lissu kwa maneno hata kabla ya kutua nchini??
Mbona aliposhambuliwa kwa risasi Boss wako hajasema lolote??
Mbona waliompiga risasi hawakamatwi, Polisi wameshindwa kuwatambua??
Aliyengoa CCTV cameras kwenye eneo la tukio na kuondoa walinzi ni nani??
Usijifanye zezeta wa Lumumba, Watanzania wana akili wanajua pumba na mchele!!
 
Hapo tu bado hajaingia nchi mwake sasa akiingia si ndo mtaanza kunya kunya et nyie waimba mapambio
Wanashangaza sana hawa watu. Yani kila mda ni post tu na threads za kumkatisha tamaa Lissu, kumtisha Lissu na kumponda Lissu.
Na hapa ndo kasema tu anakuja wao wanakuwa hivi. Sasa akitua hapa nchini kubadili upepo wa kisiasa itakuwaje????

Si itakuwa mtafutano hapa nchini
 
Enzi za kikwete ndio ulikuwa na hela? Mbona mlikuwa mnamtukana. Akili za baadhi ya wabongo bwana.
 
Unafikiri kimuhemko. Tulia tafakari.
 
Enzi za kikwete ndio ulikuwa na hela? Mbona mlikuwa mnamtukana. Akili za baadhi ya wabongo bwana.

Tunawaelimisha watu huku na wanatuelewa kweli kweli. Husicheze na njaa,watu wana njaa kweli kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…