Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waambie walime au ndio mnawaambiaga tundulisu atawaletea ugali. Maana akili yako na hao ndugu zako mnafanana tu.
Waambie wale wapate protini waendelee kuwa na afya njema. Mi nilidhani wameshindwa kuzalisha.Wamelima hawana wa kumuuzia. Ufuta hauna bei,korosho hakuna wa kununua,mbazi hakuna kitu, nyumba za kupangisha hazina wapaji baada ya gas kupigwa kufuli. Hapo kuna ada za shule,matibabu na wavazi lazima watuelewe tu.
Hapo lazima akili za ndugu zangu zifanane na akili yangu.
Wanadai alijishambulia mwenyewe.Natamani mwana CCM yeyote atuasidie kuigiza alichofanya Mh.Lissu kwa kujimiminia risasi hata nusu ya zile tuone mfano.Akitokea walau moja tu,kura yangu nawapatia.Kama hilo haliwezekani,tutafahamu kuwa mnatupotosha makusudi kuhusu uhusika wenu juu ya hilo shambulio.Sasa wewe unaogopa Jiwe kushambuliwa kwa maneno, vipi Lissu aliyeshambuliwa kwa risasi?
Jiwe atulie tu dawa imuingie
Pambana wewe, unaacha kufanya yako au ya chama lenu la kigaidi unaleta ramli chonganishi, kama anakuja kuia Chadema si ndiyo furaha yenu. Hilo genge lenu la kihalifu linawaza kuua tu, mashetani wakubwa.Mfanya maji haishi kutapa. Pambana na hali yako aunt.
Ndio tegemeo lenu, kwani mnajua kabisa hamumuwezi kwenye uwanja sawia wa siasa. Mwatia huruma kama watoto deku, kila kitu ntamwambia babangu. Hata sisi tumeshalichoka deko lenu.Siku akija na makelele Yale ninavyoyajua chadema bye bye na pingu itamhusu naamini hivyo
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.
Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni.
Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya kauli yake ni kuwa hatakuwa rais wa kukimbia matatizo na kwenda kijijini kwao kujificha (kwa akili yake anataka kuaminisha wafuasi wake kuwa Magufuli alikimbia na hakujihusisha na chochote kwenye sakata la corona kama ambavyo walikuwa wanasema)
Lissu ni mtu wa kuendeshwa na mihemko zaidi kuliko utulivu wa akili. Si mtu wa kusoma alama za nyakati au majira au mazingira. Atakachofanya atakuwa anamshambulia Magufuli kisha anawaombea wabunge kura.
Kwa hali ya sasa ukimgusa Magufuli umegusa mwananchi mmoja mmoja. Kama sio mama lishe basi bodaboda, kama sio mama mjamzito au mzazi basi mkulima, kama sio mfugaji basi mwenye kiwanda.
Kitendo cha kumshambulia Magufuli ni dhahiri atakuwa amewatoa watu kwenye reli na hivyo kuwapotezea watu shauku ya kumsikiliza na zaidi kumpuuza.
Muda utasema.
Enzi za kikwete ndio ulikuwa na hela? Mbona mlikuwa mnamtukana. Akili za baadhi ya wabongo bwana.
sheiza,
Haswaaaaaaa mkuu huyu jamaa lissu amini usiamini hatakuja kutangaza sera za chama chake kwanza hazijui na hana mpango nazo yeye ni chuki yake na jpm tu sasa utaongozaje nchi kwa mihemuko ya aina hiyo? Kila mtu sasahivi anamjua na tushampuuza wabishi waendelee tu kumuunga mkono maana wajinga bado wengi sana Tanzania.
umelipwa Bei gani kwa hili bandiko?manake kina furaha Dominic na dotto James wenzenu wanapewa "MH" na taarabu hizi huwasikii mwenzangu miye pangu pakavu ndo unayeshupalia pwagu na pwaguziIeleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.
Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni.
Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya kauli yake ni kuwa hatakuwa rais wa kukimbia matatizo na kwenda kijijini kwao kujificha (kwa akili yake anataka kuaminisha wafuasi wake kuwa Magufuli alikimbia na hakujihusisha na chochote kwenye sakata la corona kama ambavyo walikuwa wanasema)
Lissu ni mtu wa kuendeshwa na mihemko zaidi kuliko utulivu wa akili. Si mtu wa kusoma alama za nyakati au majira au mazingira. Atakachofanya atakuwa anamshambulia Magufuli kisha anawaombea wabunge kura.
Kwa hali ya sasa ukimgusa Magufuli umegusa mwananchi mmoja mmoja. Kama sio mama lishe basi bodaboda, kama sio mama mjamzito au mzazi basi mkulima, kama sio mfugaji basi mwenye kiwanda.
Kitendo cha kumshambulia Magufuli ni dhahiri atakuwa amewatoa watu kwenye reli na hivyo kuwapotezea watu shauku ya kumsikiliza na zaidi kumpuuza.
Muda utasema.
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.
Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni.
Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya kauli yake ni kuwa hatakuwa rais wa kukimbia matatizo na kwenda kijijini kwao kujificha (kwa akili yake anataka kuaminisha wafuasi wake kuwa Magufuli alikimbia na hakujihusisha na chochote kwenye sakata la corona kama ambavyo walikuwa wanasema)
Lissu ni mtu wa kuendeshwa na mihemko zaidi kuliko utulivu wa akili. Si mtu wa kusoma alama za nyakati au majira au mazingira. Atakachofanya atakuwa anamshambulia Magufuli kisha anawaombea wabunge kura.
Kwa hali ya sasa ukimgusa Magufuli umegusa mwananchi mmoja mmoja. Kama sio mama lishe basi bodaboda, kama sio mama mjamzito au mzazi basi mkulima, kama sio mfugaji basi mwenye kiwanda.
Kitendo cha kumshambulia Magufuli ni dhahiri atakuwa amewatoa watu kwenye reli na hivyo kuwapotezea watu shauku ya kumsikiliza na zaidi kumpuuza.
Muda utasema.
Akili azitoe wapi huyo kwangu pakavu tia mchuzi?
Mwenye akili timamu hawezi kumsapoti Lissu.. i feel sorry kama binadamu mwenzangu kwa kitendo kile cha kushambuliwa but kum support na pumba zake na za Machadema hapana kwa kweli.Nyie watu mbona mnaanza kumshambulia Lissu kwa maneno hata kabla ya kutua nchini??
Mbona aliposhambuliwa kwa risasi Boss wako hajasema lolote??
Mbona waliompiga risasi hawakamatwi, Polisi wameshindwa kuwatambua??
Aliyengoa CCTV cameras kwenye eneo la tukio na kuondoa walinzi ni nani??
Usijifanye zezeta wa Lumumba, Watanzania wana akili wanajua pumba na mchele!!
Lissu sio binaadam pekee kuwahi kutokea kupigwa risasi, hapa kuna point ya msingi kuwa amepigwa risasi ila ameweza kusurvive, ili ndio jambo zuri na kwa faida yake na familia yake but sio iwe mtaji wa kisiasa kwani watu wangapi wanapigwa risasi na ata hawana kosa lolote, majambazi wanapiga watu risasi hadi mabinti wanauwawa kwa risasi na hawajafanya kosa lolote mbona hatuwasikii kuwasemea ... wacha maisha yaendelee kapigwa risasi isiwe ndio hoja ya kutafuta huruma Mungu amempenda amempa uzima anatakiwa ashukuru tusonge mbele .Kwanini mlimpiga risasi
Wewe ndo mwananchi peke yako may be ndiyo maana unaona akimsema Magu atajitoa kwenye reli , ila ukweli ni kwamba kama ilivyokuwa Zimbabwe ya Mugabe ni sawa na hapa watu wanaongea praises ila sio za kina kabisa ni za uoga maana ukikosoa una hali isiyojulikana mbele yako any time so watu wanasifia tu wafanyeje sasa? Na utaona wakati wa kampeni vizuri kuwa watu bado wanapenda hoja za kipinzani as usualIeleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.