Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaenda kuimaliza CHADEMA

Tunawaelimisha watu huku na wanatuelewa kweli kweli. Husicheze na njaa,watu wana njaa kweli kweli.
Waambie walime au ndio mnawaambiaga tundulisu atawaletea ugali. Maana akili yako na hao ndugu zako mnafanana tu.
 
Wamelima hawana wa kumuuzia. Ufuta hauna bei,korosho hakuna wa kununua,mbazi hakuna kitu, nyumba za kupangisha hazina wapaji baada ya gas kupigwa kufuli. Hapo kuna ada za shule,matibabu na wavazi lazima watuelewe tu.

Hapo lazima akili za ndugu zangu zifanane na akili yangu.
 
Waambie wale wapate protini waendelee kuwa na afya njema. Mi nilidhani wameshindwa kuzalisha.
 
Tundu Lissu njoo nyumbani. Wewe ndiye utakaye nifanya nikapige kura na ninajua maamuzi yako yatakuwa mazuri sana kwa mustakabali wa nchi yetu. Lissu njoo tuuondoe ukoloni wa ccm manina zao
 
Siku akija na makelele Yale ninavyoyajua chadema bye bye na pingu itamhusu naamini hivyo
 
Sasa wewe unaogopa Jiwe kushambuliwa kwa maneno, vipi Lissu aliyeshambuliwa kwa risasi?

Jiwe atulie tu dawa imuingie
Wanadai alijishambulia mwenyewe.Natamani mwana CCM yeyote atuasidie kuigiza alichofanya Mh.Lissu kwa kujimiminia risasi hata nusu ya zile tuone mfano.Akitokea walau moja tu,kura yangu nawapatia.Kama hilo haliwezekani,tutafahamu kuwa mnatupotosha makusudi kuhusu uhusika wenu juu ya hilo shambulio.
Mnatenda matukio bila kuwaza concequences zake,why are such dumb?We expected you to be matured politically compared to NCCR Mageuzi,CUF,CHADEMA,TLP etc.
 
Siku akija na makelele Yale ninavyoyajua chadema bye bye na pingu itamhusu naamini hivyo
Ndio tegemeo lenu, kwani mnajua kabisa hamumuwezi kwenye uwanja sawia wa siasa. Mwatia huruma kama watoto deku, kila kitu ntamwambia babangu. Hata sisi tumeshalichoka deko lenu.
 
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.

Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni.

Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya kauli yake ni kuwa hatakuwa rais wa kukimbia matatizo na kwenda kijijini kwao kujificha (kwa akili yake anataka kuaminisha wafuasi wake kuwa Magufuli alikimbia na hakujihusisha na chochote kwenye sakata la corona kama ambavyo walikuwa wanasema)

Lissu ni mtu wa kuendeshwa na mihemko zaidi kuliko utulivu wa akili. Si mtu wa kusoma alama za nyakati au majira au mazingira. Atakachofanya atakuwa anamshambulia Magufuli kisha anawaombea wabunge kura.

Kwa hali ya sasa ukimgusa Magufuli umegusa mwananchi mmoja mmoja. Kama sio mama lishe basi bodaboda, kama sio mama mjamzito au mzazi basi mkulima, kama sio mfugaji basi mwenye kiwanda.

Kitendo cha kumshambulia Magufuli ni dhahiri atakuwa amewatoa watu kwenye reli na hivyo kuwapotezea watu shauku ya kumsikiliza na zaidi kumpuuza.

Muda utasema.

Naona unampigia kampeni mgombea wako!![emoji23][emoji23].Lakini pia unamshambulia Lissu na kupiga ramli ya nini atasema!Muda utatuambia Lissu atasema nini!Kama kuna makosa mgombea wako kafanya ndo platform nzuri ya kumsema[emoji23]
 
sheiza,

Haswaaaaaaa mkuu huyu jamaa lissu amini usiamini hatakuja kutangaza sera za chama chake kwanza hazijui na hana mpango nazo yeye ni chuki yake na jpm tu sasa utaongozaje nchi kwa mihemuko ya aina hiyo? Kila mtu sasahivi anamjua na tushampuuza wabishi waendelee tu kumuunga mkono maana wajinga bado wengi sana Tanzania.

Lissu ameshiriki vikao takribani vitatu vya Kamati Kuu.Lakini pia anapata ripoti zote za Vikao.Inakuwaje unasema hajui sera za Chadema.Hakuna mtu anayependa kusoma kama Lissu.Ana uwezo mkubwa sana usio wa kawaida.Lakini pia Ilani za Vyama bado hazijatoka rasmi.
 
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.

Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni.

Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya kauli yake ni kuwa hatakuwa rais wa kukimbia matatizo na kwenda kijijini kwao kujificha (kwa akili yake anataka kuaminisha wafuasi wake kuwa Magufuli alikimbia na hakujihusisha na chochote kwenye sakata la corona kama ambavyo walikuwa wanasema)

Lissu ni mtu wa kuendeshwa na mihemko zaidi kuliko utulivu wa akili. Si mtu wa kusoma alama za nyakati au majira au mazingira. Atakachofanya atakuwa anamshambulia Magufuli kisha anawaombea wabunge kura.

Kwa hali ya sasa ukimgusa Magufuli umegusa mwananchi mmoja mmoja. Kama sio mama lishe basi bodaboda, kama sio mama mjamzito au mzazi basi mkulima, kama sio mfugaji basi mwenye kiwanda.

Kitendo cha kumshambulia Magufuli ni dhahiri atakuwa amewatoa watu kwenye reli na hivyo kuwapotezea watu shauku ya kumsikiliza na zaidi kumpuuza.

Muda utasema.
umelipwa Bei gani kwa hili bandiko?manake kina furaha Dominic na dotto James wenzenu wanapewa "MH" na taarabu hizi huwasikii mwenzangu miye pangu pakavu ndo unayeshupalia pwagu na pwaguzi
 
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.

Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni.

Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya kauli yake ni kuwa hatakuwa rais wa kukimbia matatizo na kwenda kijijini kwao kujificha (kwa akili yake anataka kuaminisha wafuasi wake kuwa Magufuli alikimbia na hakujihusisha na chochote kwenye sakata la corona kama ambavyo walikuwa wanasema)

Lissu ni mtu wa kuendeshwa na mihemko zaidi kuliko utulivu wa akili. Si mtu wa kusoma alama za nyakati au majira au mazingira. Atakachofanya atakuwa anamshambulia Magufuli kisha anawaombea wabunge kura.

Kwa hali ya sasa ukimgusa Magufuli umegusa mwananchi mmoja mmoja. Kama sio mama lishe basi bodaboda, kama sio mama mjamzito au mzazi basi mkulima, kama sio mfugaji basi mwenye kiwanda.

Kitendo cha kumshambulia Magufuli ni dhahiri atakuwa amewatoa watu kwenye reli na hivyo kuwapotezea watu shauku ya kumsikiliza na zaidi kumpuuza.

Muda utasema.

Kama atamshambulia kwa HOJA, that's good....

Kama atamshambulia kwa HOJA na kukosoa SERA na MIPANGO yake na CCM yake, what's wrong with that?

By the way, nini maana ya kampeni za uchaguzi? Nini maana ya uchaguzi?

KAMPENI ZA UCHAGUZI ni kushambuliana kwa HOJA. Kukosoana KISERA na MIPANGO kutumia jukwaa la KAMPENI....

UCHAGUZI maana yake ni kutumia jukwaa la KAMPENI kushindanisha SERA na ITIKADI..

UCHAGUZI maana yake;
å kukosoa Sera na itikadi ya mwenzako
å Kukosoa tabia binafsi ya mshindani wako
å Kukosoa mwenendo na mipango ya kiuchumi na kijamii ya mshindani wako

Sasa kama haya yote tafsiri yako ni "atashambuliwa tu just for the sake ya kushambuliwa" hiyo ni shauri lako....
 
Akili azitoe wapi huyo kwangu pakavu tia mchuzi?
Nyie watu mbona mnaanza kumshambulia Lissu kwa maneno hata kabla ya kutua nchini??
Mbona aliposhambuliwa kwa risasi Boss wako hajasema lolote??
Mbona waliompiga risasi hawakamatwi, Polisi wameshindwa kuwatambua??
Aliyengoa CCTV cameras kwenye eneo la tukio na kuondoa walinzi ni nani??
Usijifanye zezeta wa Lumumba, Watanzania wana akili wanajua pumba na mchele!!
Mwenye akili timamu hawezi kumsapoti Lissu.. i feel sorry kama binadamu mwenzangu kwa kitendo kile cha kushambuliwa but kum support na pumba zake na za Machadema hapana kwa kweli.
Lazima tusonge mbele , kila siku ni siku mpya kwa mwanadamu anatakiwa amove on tatizo lake he's stuck on the past na nyie wana gege kazi kupuliza vifiribi tu ata kama hamna mtu uwanjani..ukiwa Chadema akili zinashuka kwenye kaptula kama M/kiti.
 
Kwanini mlimpiga risasi
Lissu sio binaadam pekee kuwahi kutokea kupigwa risasi, hapa kuna point ya msingi kuwa amepigwa risasi ila ameweza kusurvive, ili ndio jambo zuri na kwa faida yake na familia yake but sio iwe mtaji wa kisiasa kwani watu wangapi wanapigwa risasi na ata hawana kosa lolote, majambazi wanapiga watu risasi hadi mabinti wanauwawa kwa risasi na hawajafanya kosa lolote mbona hatuwasikii kuwasemea ... wacha maisha yaendelee kapigwa risasi isiwe ndio hoja ya kutafuta huruma Mungu amempenda amempa uzima anatakiwa ashukuru tusonge mbele .
 
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.

Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni.

Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya kauli yake ni kuwa hatakuwa rais wa kukimbia matatizo na kwenda kijijini kwao kujificha (kwa akili yake anataka kuaminisha wafuasi wake kuwa Magufuli alikimbia na hakujihusisha na chochote kwenye sakata la corona kama ambavyo walikuwa wanasema)

Lissu ni mtu wa kuendeshwa na mihemko zaidi kuliko utulivu wa akili. Si mtu wa kusoma alama za nyakati au majira au mazingira. Atakachofanya atakuwa anamshambulia Magufuli kisha anawaombea wabunge kura.

Kwa hali ya sasa ukimgusa Magufuli umegusa mwananchi mmoja mmoja. Kama sio mama lishe basi bodaboda, kama sio mama mjamzito au mzazi basi mkulima, kama sio mfugaji basi mwenye kiwanda.

Kitendo cha kumshambulia Magufuli ni dhahiri atakuwa amewatoa watu kwenye reli na hivyo kuwapotezea watu shauku ya kumsikiliza na zaidi kumpuuza.

Muda utasema.
Wewe ndo mwananchi peke yako may be ndiyo maana unaona akimsema Magu atajitoa kwenye reli , ila ukweli ni kwamba kama ilivyokuwa Zimbabwe ya Mugabe ni sawa na hapa watu wanaongea praises ila sio za kina kabisa ni za uoga maana ukikosoa una hali isiyojulikana mbele yako any time so watu wanasifia tu wafanyeje sasa? Na utaona wakati wa kampeni vizuri kuwa watu bado wanapenda hoja za kipinzani as usual
 
Back
Top Bottom