Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anaenda kuimaliza CHADEMA

Wasilolijua viongozi wa Chadema, sii kila vita inapiganwa na bunduki.
 
sheiza,
Mkuu ilo linajulikana mbona ila hawa jamaa vichwa vya kunazi washajaa upepo si unawaona wanavyobweka.
 
Kwa maelezo ya huko juu, nakubaliana kidogo na mawazo yako kuhusu aina ya kampeni atakayopiga Mheshimiwa Lisu, lakini napingana na wewe kwenye hizi Aya za mwisho.

Kwa hulka ya watanzania hata kama Mheshimiwa Rais angekua kafanya kila aina ya wema pasingekua na mtu anaeweza kumpambania akisemwa vibaya, tutamsikiliza Lisu na yale yatakayokua na ukweli tutayakubali, yaliyokua ya uzushi yatapotea menyewe.
Lissu hawezi kuongea ukweli ata mara moja mtu aleyeathirika kisaikolojia anaanzaje kuongea ukweli too much emotional like lily bih
 
sheiza,

Ukumgusa Magufuli umemgusa nani? Acheni ujinga bwana...
Labda umemgusa kwa ubaya na balaa alilolimeta!
Watanzania wote wanalia ugumu wa maisha kasoro walio katika ufalme wake tu...hata wewe unajipendekeza tu! Ukute ni mtumishi wa umma umekaa miaka 5 bila kuongezwa hata kumi ya mshahara wako, lkn waendelea kuimba pambio za sifa na kuabudu dhidi ya kiongozi mwovu na asie na uwezo kabisa!
 
Hokukosea yule aliewaita washamba
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.

Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni.

Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya kauli yake ni kuwa hatakuwa rais wa kukimbia matatizo na kwenda kijijini kwao kujificha (kwa akili yake anataka kuaminisha wafuasi wake kuwa Magufuli alikimbia na hakujihusisha na chochote kwenye sakata la corona kama ambavyo walikuwa wanasema)

Lissu ni mtu wa kuendeshwa na mihemko zaidi kuliko utulivu wa akili. Si mtu wa kusoma alama za nyakati au majira au mazingira. Atakachofanya atakuwa anamshambulia Magufuli kisha anawaombea wabunge kura.

Kwa hali ya sasa ukimgusa Magufuli umegusa mwananchi mmoja mmoja. Kama sio mama lishe basi bodaboda, kama sio mama mjamzito au mzazi basi mkulima, kama sio mfugaji basi mwenye kiwanda.

Kitendo cha kumshambulia Magufuli ni dhahiri atakuwa amewatoa watu kwenye reli na hivyo kuwapotezea watu shauku ya kumsikiliza na zaidi kumpuuza.

Muda utasema.
 
Unataka kutuambia taifa zima tunamkubali magu sio
 
Maliza kwanza kukata gogo kisha uje uandike hoja zako vizuri.
 
Kama
Sana Walimshindwa mahakim na majaji!
Kwa hoja alishindikana pia! Kwa kulogwa akashindikana kwa Sumu akashindikana!
Ndio wakabaki na wazo la risasi 38 ikashindikana!
Kama unawaza hivyo basi jua kunawatu wana amini Magufuli anaakili kuliko wanasiasa wote.
 
Ieleweke tu kuwa Lissu hagombei urais ili awe kiongozi, maana anajua wazi hatapenya na hata heka heka za kampeni kwa hali yake hatoweza.

Anachotafuta Lissu ni platform ya kumshambulia Magufuli na serikali kwa kigezo cha kampeni.

Alipotangaza nia alianza kwa mashambulizi binafsi na moja ya kauli yake ni kuwa hatakuwa rais wa kukimbia matatizo na kwenda kijijini kwao kujificha (kwa akili yake anataka kuaminisha wafuasi wake kuwa Magufuli alikimbia na hakujihusisha na chochote kwenye sakata la corona kama ambavyo walikuwa wanasema)

Lissu ni mtu wa kuendeshwa na mihemko zaidi kuliko utulivu wa akili. Si mtu wa kusoma alama za nyakati au majira au mazingira. Atakachofanya atakuwa anamshambulia Magufuli kisha anawaombea wabunge kura.

Kwa hali ya sasa ukimgusa Magufuli umegusa mwananchi mmoja mmoja. Kama sio mama lishe basi bodaboda, kama sio mama mjamzito au mzazi basi mkulima, kama sio mfugaji basi mwenye kiwanda.

Kitendo cha kumshambulia Magufuli ni dhahiri atakuwa amewatoa watu kwenye reli na hivyo kuwapotezea watu shauku ya kumsikiliza na zaidi kumpuuza.

Muda utasema.
Hapa unatupa taarifa? Unasikitika CHADEMA inaenda kufa? Au unafurahia Lisu kutokutoboa urais?
 
Niishie tu kucheka maana kichaa co lazima aokote makopo barabarani
 
Back
Top Bottom